Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ifahamu tuzo ya Umoja wa Ulaya aliyopewa Fid Q

Fareed Kubanda amepewa heshima kubwa na EU. Rapper huyo jana alitunikiwa tuzo iitwayo ‘Champion of the 2015 European year for development in Tanzania’ kutoka kwa umoja wa nchi za Ulaya kutokana na mchango wake katika jamii kupitia mambo tofauti anayoyafanya kupitia muziki wake. Fid ameiambia Bongo5 kuwa tuzo hiyo ni kama endorsement ambayo ameahidiwa na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

FID Q Kinara wa tuzo ya maendeleo ya Umoja wa Ulaya

1660440_10152691085461641_121417824891132961_n

Mwanamuziki  nguli wa Hip Hop, nchini kutoka Mwanza, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ (kulia) akipozi na Balozi wa Umoja wa Ulaya pamoja na baadhi ya washindi wenzake wakati wa hafla hiyo.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii mwanamuziki  nguli wa Hip Hop, nchini kutoka Mwanza, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ Amepongeza kwa kutunukiwa tuzo ya maendeleo 2015 inayotolewa na Umoja wa Nchi za Ulaya .

Fid Q alieleza kuwa, kutunukiwa huko ni baada ya mchango wake kuonekana  ikiwemo ...

 

10 years ago

CloudsFM

Rapper Fid Q apewa tuzo ya `CHAMPION na umoja wa Nchi za Ulaya EU

Umoja wa nchi za ulaya EU wampa tuzo Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ya CHAMPION of the 2015 Europe Year for Development in Tanzania ,Pia Fid Q alifunguka kwenye Amplifaya ya Cloudsfm nakusema amefarijika sana kupata Tuzo hiyo kwani itampa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii zaidiPia Fid Q alisema amepata Tuzo hiyo kutokana na kujitolea kusaidia vijana katika jamii ili waache miadarati na japo kuwa darasa kwa sasa limefungwa ila anampango wa kulifungua tena upya darasa hilo

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q apewa tuzo na umoja wa nchi za ulaya EU, ‘CHAMPION of the 2015 European year for development in Tanzania’

Umoja wa nchi za ulaya EU wamempa rapper Fareed “Fid Q” Kubanda tuzo ya ‘CHAMPION of the 2015 European year for development in Tanzania’ kutokana na mchango wake katika jamii. “Tarehe hii ya leo ambayo ni 17 machi ikiwa siku ya Jumanne […] nina furaha sana kwasababu ni siku ambayo nimepewa tuzo…tuzo hii inaitwa ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu ratiba ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, September 30

Hii ni ratiba nyingine ya mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumatano hii, September 30 baada ya jana kupigwa michezo kadhaa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fid Q: Ningekosa tuzo nisingeshiriki tena

MKALI wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’, amesema tuzo za mwaka huu za Kili zilikuwa za mwisho kushiriki endapo waandaaji wasingetambua mchango wake tangu mwaka 2004....

 

11 years ago

GPL

FID Q: PROFESA WA HIP HOP ALIYEKUMBUKWA KWA TUZO ZA KILI

Makala: Andrew Carlos NDANI ya gemu la Hip Hop Bongo, ni vichwa vichache sana ambavyo vimebaki tangu miaka ya 90 hadi sasa, miongoni mwao ni mkali kutoka Jiji la Mwanza ambaye alizaliwa Agosti 13, 1982, Farid Kubanda ’Ngosha The Swagga Don’ au Fid Q. Fid Q ’Ngosha The Swagga Don’ wakati akihojiwa na Global TV Online. Ni fundi aliyeitendea haki midundo ya ngoma kali kama Mwanza Mwanza, Proffesional,...

 

11 years ago

GPL

FID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP

Rapper Farid Kubanda a.k.a Fid Q akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers Ltd. Fid Q akiwa na waandishi wa Championi, Sweetbert Lukonge (kulia) na Nicodemus Jonas.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani