Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIFA yatangaza imani na mchuano Brazil

Shirikisho la soka duniani Fifa limesema kuwa lina iamni kombe la dunia Brazil litakuwa na ufanisi mkubwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Machafuko ya Brazil yababisha FIFA

Rais FIFA Sepp Blatter ameelezea wasi wasi wake kuhusiana na maandamano yanayoendelea nchini Brazil

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Maradona awajia juu Fifa

>Diego Maradona ameibwatukia Fifa (Shirikisho la Soka la Kimataifa Duniani), baada ya wachezaji saba wa Costa Rica kutakiwa kupimwa damu kama wanatumia dawa za kulevya kutokana na ushindi wao wa kushtukiza dhidi ya Italia.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Nigeria hatihati kufungiwa Fifa

>Nigeria haijarudi nyuma katika uamuzi wake wa kuwafukuza viongozi wote wa shirikisho la soka la nchi hiyo na kupuuza agizo la Fifa na sasa wanakaribia kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa.

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: The Fifa #WorldCup as soccer players’ market

Hundreds of soccer talent scouts are already in Brazil to hunt for new players who would have, by the end of the World Cup, succeeded in convincing the world of their worth.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Fifa yawatibulia Januzaj, Lukaku Ubelgiji

Ubelgiji ilishinda mechi hiyo ilofutwa kwa mabao 5-1, yakiwamo matatu ya ‘hat trick’ yaliyofungwa na Romelu Lukaku.

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA yaonya Brazil kuhusu maandalizi ya kombe la dunia

FIFA imetoa onyo kwa Brazil kuwa Curitiba huenda ukaondolewa miongoni mwa miji itakayoandaa fainali ya kombe la dunia kutokana na kuchelewesha kwa ujenzi

 

9 years ago

Mtanzania

Mchuano mkali

MTZ Alhamisi new july.indd*Lowassa atikisa Chato, Magufuli afunika Kigoma

*Kaborou akataliwa, Duni ampigia debe Kigwangala

 

NA WAANDISHI WETU

SASA ni wazi kuwa mchuano wa wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema ni mkali, kutokana na wagombea wa vyama hivyo kuendelea kutikisa.

Hali hiyo ilidhihirika jana, baada ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa, kupata mapokezi makubwa katika mji wa Chato, Mkoa wa Geita ambako ni nyumbani kwa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli.

Wakati Lowassa akipata mapokezi hayo,...

 

10 years ago

Habarileo

JK afurahishwa mchuano CCM

Rais Jakaya Kikwete na Linda Thomas- Greenfield(kushoto)RAIS Jakaya Kikwete ameelezea kufurahishwa na wingi wa wagombea waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, akisema ni jambo zuri na ni ushahidi wa kiasi cha uhuru ambao umejengeka katika chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchuano mkali majimbo 34

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiingia katika hatua ya lalasalama, vyama vinavyounda Ukawa na CCM vinachuana vikali kwenye majimbo 30, kwa mujibu wa uchunguzi wa Mwananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani