Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FOD YAPANIA MAKUBWA

Kundi linaloundwa na wasanii wa filamu,wanamuziki na wanamichezo kwa ajili ya kusukuma gurudumu la  maendeleo yao na taifa kiujumla la Friends of Developments(F.O.D), limepania kufanya mengi makubwa kulisimamia jina lao la “Rafiki wa Maendeleo” kwa kufanya kazi za kijamii zikiwemo kusaidia wasiojiweza, kwa kujitolea na kufanya matamasha mbalimbali mfululizo na hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Akizungumza na wanahabari mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa FOD na pia katibu mkuu wa ngumi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yapania makubwa

>Wakati Mbeya City ikipangwa kufungua dimba la michuano ya kimataifa ya Bonde la Mto Nile dhidi ya El Merreikh Al Fasher Mei 23, kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi amesema wanakwenda Sudan kufanya kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malaika Musica yapania makubwa Moshi

BENDI iliyoanza kwa kishindo ya Malaika Musica chini ‘Mkali wa Masauti’, Christian Bella inatarajiwa kushusha burudani ya aina yake ndani ya ukumbi wa maraha wa Adventure mjini Moshi mkoani Kilimanjaro....

 

10 years ago

Michuzi

FRIENDS OF DEVELOPMENTS (FOD) na Bigright YAANDAA MAPAMBANO ya NDONDI JIJINI DAR ES SALAAM mwezi ujao

Kampuni ya bigright promotion inategemea kuandaa pambano la masumbwi litakalopigwa tarehe 6/9/2015 katika ukumbi wa vijana , kinondoni jijini Dar es salaam.Katibu wa ngumi za kulipwa ambaye  ndie mratibu wa mpambano huo Ibrahim Kamwe (Bigright) amesema pambano hilo limeandaliwa kwa ajili ya kuamsha vijana kujituma na kujijengea mazingira ya kupenda kufanya kazi na sio kukaa vijiweni na kujiingiza katika utumiaji wa madawa na ukabaji.Bigright promotion ikishirikiana FRIENDS OF DEVELOPMENTS...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa

ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys yapania

Kocha wa timu ya taifa ya vijana walio na chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Hababuu Ali Omari amesema wachezaji wake wako tayari kwa ajili ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Afrika Kusini.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yapania kuboresha bandari

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema itahakikisha bandari zilizopo nchini, zinatoa huduma kwa kiwango cha kimataifa ili ziweze kushindana na bandari za nchi jirani ikiwa ni pamoja na kupewa leseni.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yapania kutokomeza utapiamlo

NA SOPHIA ASHERY
SERIKALI imesema itaweka mikakati kuhakikisha inatokomeza utapiamlo nchini na kutoa elimu ya lishe kuanzia ngazi za awali katika jamii.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo, wakati akifungua warsha ya siku tatu kujadili mikakati ya kutoa elimu juu ya lishe bora.
Pallangyo alisema Tanzania inayo idadi kubwa ya watoto na wanawake wajawazito, ambao wana utampiamlo unaosababishwa na kukosekana kwa lishe bora, hali ambayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JKT Oljoro yapania daraja la kwanza

TIMU ya JKT Oljoro imepania kukabili ushindani wa ligi Daraja la Kwanza kwa kuanza maandalizi mapema ikiwemo kuingia kambini na kujifua kwa mazoezi magumu ili waweze kurejea Ligi Kuu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CDA yapania kurejea Ligi Kuu

TIMU ya CDA Dodoma inayoshiriki Ligi ya Mkoa, imetamba kujiandaa vema msimu huu ili iweze kutwaa ybungwa na hatimaye kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL). Mikakati hiyo imekuja kwa lengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani