Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUNDI MBARONI UBAKAJI WA DENTI!

Dustan Shekidele, Morogoro. LAANA! Njemba mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, anayejishughulisha na ujenzi wa nyumba, mwishoni mwa wiki alinaswa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa kike (10) katika nyumba aliyokuwa akiijenga maeneo ya Kichangani mkoani hapa, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Mtuhumiwa huyo akiwa chini ya ulinzi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mtoto huyo ambaye jina lake linahifadhiwa,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ANUSURIKA KUUAWA, KISA UBAKAJI WA DENTI!

Kijana Said (30) akipatiwa maji baada ya kupewa kichapo kikali kutoka kwa wananchi. Na Joseph Ngilisho, Arusha
MWANAUME anayedaiwa kuwa ni kinara wa ubakaji jijini hapa, Said (30) mkazi wa Mbauda, amenusurika kifo kwa kipigo kutoka kwa raia wenye hasira baada ya kunaswa akitoka kumbaka denti wa kidato cha pili hadi kupoteza fahamu. Said anayetajwa kuwa ‘mwenyekiti’ wa kundi linalojihusisha na ubakaji, alishambuliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikongwe mbaroni kwa ubakaji

Polisi mkoani Klimanjaro inamshikilia mzee Mungai Molel(75) kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 11 wa shule ya msingi Okaseni na kumjeruhi vibaya sehemu za siri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kada CCM mbaroni kwa ubakaji, ujambazi

JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Busega ambaye ni Mwenyekiti wa Kata ya Mawamanyili, wilayani Busega kwa tuhuma za ujambazi na ubakaji. Pia...

 

11 years ago

Michuzi

FUNDI KAZINI....

Leo kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa fundi huyu makiri wa kupaka rangi kwenye majengo marefu jijini Dar kama aonekanavyo hapo.

 

5 years ago

Michuzi

Fundi 24/7- Soko mtandaoni

Na Godwin Semunyu

Maendeleo ya mifumo ya habari na mawasiliano yameleta mabadiliko mengi chanya kwenye Maisha ya binadamu. Sifa kubwa ya mifumo hiyo ni upatikanaji wa bidhaa na huduma kwa uharaka na uthabiti zaidi.
Fundi 24/7 ni mtandao wa kitanzania unaowakutanisha wateja na mafundi watoa huduma mbalimbali nchini kwa njia ya  mtandao na hivyo kuokoa muda wa wote wawili. “Lengo kuu la kuanzisha huduma hii ya Fundi 24/7 ni kuwakutasha wateja na mafundi ili kutoa huduma kwa uharaka. Kupitia...

 

11 years ago

GPL

DENTI AJICHOMA KISU!

Stori: Musa Mateja
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Moza Kasim Mohemed akiwa hoi baada ya kujichoma kisu cha tumbo. Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika...

 

11 years ago

GPL

DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Stori: Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII! Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Tukio hilo...

 

10 years ago

GPL

DENTI AFAULU, APOTEA!

Stori: Mwandishi  wetu
MWANAFUNZI Asia Hamed Muagi (15) ambaye alifanya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu katika shule ya msingi Gerezani  jijini  Dar es Salaam amepotea katika mazingira ya kutatanisha tokea Oktoba 28. Mwanafunzi Asia Hamed Muagi aliyepotea katika mazingira tatanishi . Akizungumza na gazeti  hili, mjomba wa mwanafunzi huyo ambaye matokeo ya darasa la saba yanaonyesha amefaulu kwa masomo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani