Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fundi 24/7- Soko mtandaoni

Na Godwin Semunyu

Maendeleo ya mifumo ya habari na mawasiliano yameleta mabadiliko mengi chanya kwenye Maisha ya binadamu. Sifa kubwa ya mifumo hiyo ni upatikanaji wa bidhaa na huduma kwa uharaka na uthabiti zaidi.
Fundi 24/7 ni mtandao wa kitanzania unaowakutanisha wateja na mafundi watoa huduma mbalimbali nchini kwa njia ya  mtandao na hivyo kuokoa muda wa wote wawili. “Lengo kuu la kuanzisha huduma hii ya Fundi 24/7 ni kuwakutasha wateja na mafundi ili kutoa huduma kwa uharaka. Kupitia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

10 years ago

Michuzi

FUNDI KAZINI....

Leo kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa fundi huyu makiri wa kupaka rangi kwenye majengo marefu jijini Dar kama aonekanavyo hapo.

 

11 years ago

GPL

FUNDI NGUO AMCHEFUA DAVINA

STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amechefuliwa vibaya na fundi wa nguo kwa kumcheleweshea nguo ya sare na kumfanya ashindwe kuivaa kwenye shughuli ya msanii mwenzake, Vanitha Omari. Staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’. Akipiga stori na mwandishi wetu katika shughuli hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mawela Sinza, jijini Dar, Davina alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

Fundi afia nyumba ya wageni

Fundi radio maarufu mjini Singida, Daniel Mosha (50), amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa mjini hapa, baada ya kuugua ghafla akiwa amelala katika nyumba ya kulala wageni na rafiki yake wa kike.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi ujenzi afa ghafla

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti akiwemo fundi ujenzi, Robert Simon (30), mkazi wa Buguruni, aliyekufa katika mazingira ya kutatanisha. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Paa lamuua fundi seremala

FUNDI Seremala Ramadhani Hassan (52), maarufu Pilipili, mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam amefariki dunia baada ya kuanguka juu ya paa la nyumba. Kamanda wa polisi Mkoa wa Ilala,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi seremala afa ghafla

FUNDI seremala, Ally Abdallah (33), mkazi wa Pugu amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla maeneo ya Buguruni Bakhressa jijini Dar es Salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fundi Samweli awaonya wasanii

MTAYARISHAJI wa kimataifa wa muziki wa Bongo Fleva, raia wa Sweeden, Fundi Samweli, amewataka wasanii wa Tanzania, kutopoteza radha halisi ya muziki wa bongo fleva pindi wanapotengeneza kazi zao. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani