Gavana aomba msaada wa rais kupitia Facebook
Gavana wa jimbo la Helmand Afghanistan amewashangaza wengi kwa kumuandikia rais barua kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Rais Goodluck Jonathan aomba msaada
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Kiongozi wa Uamsho aomba msaada wa Rais
10 years ago
Michuzi23 May
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Aliyetongoza kupitia Facebook afungwa jela
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Dk. John Magufuli aomba kura kupitia simu
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli (pichani) kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura.
Ujumbe huo unaokwenda kwa watumiaji wa simu za mitandao mbalimbali humfikia mmiliki wa simu kupitia namba +255622333333 na mara baada ya simu hiyo kupokelewa husikika sauti ya Dk. Magufuli...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Aomba msaada wa matibabu
GERALD Mwambungu (35) mkazi wa Ubungo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam, anaomba msaada wa kwenda India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake wa kulia. Akizungumza jana katika ofisi...
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Al-Sisi,aomba msaada dhidi ya IS
10 years ago
Habarileo09 Feb
Jaji aomba msaada ACHPR
RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), Jaji Augustino Ramadhani amemwomba Rais Joachim Gauck wa Ujerumani kutumia uwezo wake kuzishawishi nchi zingine za Afrika kuridhia mkataba wa Malabo, unaotaka mahakama hiyo kushughulikia pia mashauri ya kijinai na masuala mengine ya kisheria.