Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gharama za kitanda zapanda Muhimbili

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imepandisha gharama za huduma hospitalini hapo na sasa mgonjwa atakayelazwa atalazimika kulipa Sh5,000 kwa siku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Gharama za maisha kijijini Qunu zapanda

Gharama za maisha zimepanda katika Kijiji cha Qunu atakakozikwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika, Neslon Mandela na sasa chumba cha kulala kwa siku kinatozwa hadi Randi 8,000 kwa siku sawa na Sh1.4 milioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi walizwa kupanda kwa gharama Muhimbili

Baadhi ya wananchi wamelalamikia mabadiliko ya gharama za utoaji huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa madai kuwa wanaumia kutokana na kuwa na vipato vidogo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wajipanga foleni ya kitanda kusubiri kujifungua

WANAWAKE wa kijiji cha Ibihwa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameomba kuongezewa vitanda vya kujifungulia kutokana na zahanati wanayotumia kuwa na kitanda kimoja na kulazimika kupanga foleni ili wapate nafasi pindi wanapopatwa na uchungu.

 

11 years ago

GPL

UNDANI MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA

Stori: DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pacha wanaoshirikiana mwanamume, kazi, gari, kitanda

Pacha waliozaliwa kwa kupishana dakika moja, wanashirikiana kila kitu maishani. Maisha ya kawaida, gari, akaunti ya facebook, benki, mshahara, kazi hata rafiki wa kiume, yote hayo wanafanya kwa kushirikiana.

 

9 years ago

Habarileo

Bidhaa zapanda bei Zanzibar

WANANCHI wengi wa Zanzibar wanalazimika kutumia fedha za ziada kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za lazima ikiwemo chakula baada ya bei ya bidhaa muhimu kupanda bei, imebainika.

 

5 years ago

CCM Blog

NYANYA ZAPANDA BEI DODOMA

   SABABU ni mvua! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wafanyabiashara wa zao la nyanya kuitaja mvua kama sababu iliyochangia kupanda kwa bei ya zao hilo kwa siku za hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini na Dodoma ikiwemo.

Kwa siku za hivi karibuni zao la nyanya limeshika umaarufu mkubwa midomoni mwa watu kutokana na kupotea kwake sokoni na zinapopatikana basi bei yake imekua juu tofauti na ilivyozoeleka.

Michuzi Blogu imefanya uchunguzi wake katika masoko ya Sabasaba na Majengo ambapo...

 

10 years ago

Vijimambo

MSICHANA WA MIAKA 21 AUAWA NA MPENZI WAKE KISHA KUMFUKIA CHINI YA KITANDA





Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa kitanda.

Taarifa zinasema kuwa binti huyo alimtembelea mpenzi wake wiki mbili zilizopita lakini hakurudi nyumbani kwao ndipo mama yake alipoanza kumtafuta na kuelekezwa kwa mpenzi wake Daniel Nyabuti, huku akiwa na matumaini ya kumkuta mtoto wake akiwa hai, walipofika nyumbani kwa kijana huyo...

 

11 years ago

CloudsFM

HILI NDILO KABURI LILILOVUNJA REKODI,MAITI YAWEKEWA KITANDA,TV,VINYWAJI N.K.

Sasa uachane na stori zote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana.Kiboko cha yaote mtu aliyezikwa katika kaburi lililotengenezwa kama chumba cha kulala kilicho na samani tofauti za thamani kubwa sana kama vile flat screen, dreassing table, kitanda na vitu vingine vingi mpaka mvinyo, perfumes na vingine vingi, hii ndio top katika dunia hii, angalia picha zaidi za tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani