Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gharama za maisha kijijini Qunu zapanda

Gharama za maisha zimepanda katika Kijiji cha Qunu atakakozikwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika, Neslon Mandela na sasa chumba cha kulala kwa siku kinatozwa hadi Randi 8,000 kwa siku sawa na Sh1.4 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU

Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini. Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko.…

 

11 years ago

Mwananchi

Gharama za kitanda zapanda Muhimbili

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imepandisha gharama za huduma hospitalini hapo na sasa mgonjwa atakayelazwa atalazimika kulipa Sh5,000 kwa siku.

 

11 years ago

Michuzi

Taaswirazzz za washiriki wa Maisha Plus walivyoingia kijijini jana


Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za kitanzania. Wageni waalikwa waliofika kijijini cha Maisha Plus kuangalia uzinduzi... Washiriki wa shindano la Mshindi wa Maisha Plus wakipewa maelekezo machache mara baada ya kuwasili kijijini kwao. Mmoja ya wawakilishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbezi kwa Msuguri maisha ni magumu kuliko kijijini

UMUHIMU wa barabara na njia za kupita katika sehemu yoyote anayoishi binadamu ndiyo msingi wa maendeleo yake yeye binafsi na viumbe vyote hai vinavyomzunguka. Hata mimea kama hakuna barabara ya...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI‏

Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud Kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za Kitanzania.
Wageni waalikwa waliofika kijiji cha Maisha Plus kuangalia uzinduzi.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Gharama za maisha zapaa Samunge

Gharama za maisha katika Kijiji cha Samunge wilayani Loliondo ambako maelfu ya watu wamekimbilia kuchimba dhahabu ambayo imegundulika, zimepanda kiwango cha kutisha hasa chakula na maji.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero la gharama ya Maisha Kenya

Utafiti mpya nchini Kenya umeonyesha kuwa idadi kubwa ya wakenya wanakerwa zaidi na gharama ya juu ya maisha kuliko kitu kingine chochote

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani