Kero la gharama ya Maisha Kenya
Utafiti mpya nchini Kenya umeonyesha kuwa idadi kubwa ya wakenya wanakerwa zaidi na gharama ya juu ya maisha kuliko kitu kingine chochote
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 May
Gharama za maisha zapaa Samunge
Gharama za maisha katika Kijiji cha Samunge wilayani Loliondo ambako maelfu ya watu wamekimbilia kuchimba dhahabu ambayo imegundulika, zimepanda kiwango cha kutisha hasa chakula na maji.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Gharama za maisha kijijini Qunu zapanda
Gharama za maisha zimepanda katika Kijiji cha Qunu atakakozikwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika, Neslon Mandela na sasa chumba cha kulala kwa siku kinatozwa hadi Randi 8,000 kwa siku sawa na Sh1.4 milioni.
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Gesi, vyuo vikuu vyapandisha gharama za maisha Mtwara
Uchimbaji wa gesi na ongezeko la vyuo vikuu mkoani hapa, vinadaiwa kupandisha gharama za maisha katika Mji wa Mtwara na kusababisha baadhi ya wakazi wake kukimbilia vijijini kwenda kupanga nyumba za gharama nafuu ili kupata ahueni.
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Kero la wafanyakazi ghushi wa umma Kenya
Serikali ya Kenya imeamuru uchunguzi kufanywa baada ya majina ya wafanyakazi hewa 12,000 kupatikana kwenye orodha yake ya mishahara.
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Filamu yasimulia maisha mitaa duni Kenya
Kundi la vijana nchini Kenya wametayarisha filamu inayosimulia maisha katika mitaa ya mabanda wakitumia simu za mkononi.
10 years ago
Bongo510 Nov
Salama Jabir na Malonza (Kenya) kuja na show mpya Maisha Magic
Huenda mashabiki wa Salama Jabir hawataishia kumuona kwenye kipindi cha Mkasi peke yake. Staa huyo anaonekana kuungana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Stargame, Malonza Chege kwenye kipindi kipya Maisha Magic ambacho hakijajulikana kitaitwaje.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PzFqtTlxjlk/UyiHFfWu9II/AAAAAAAAMZk/LwwVmRpplGI/s72-c/Masoud+Kipanya.jpg)
Maisha Plus Update: Washiriki kutoka Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda wako Moro
![](http://2.bp.blogspot.com/-PzFqtTlxjlk/UyiHFfWu9II/AAAAAAAAMZk/LwwVmRpplGI/s1600/Masoud+Kipanya.jpg)
WASHIRIKI wa shindano la Maisha Plus ambayo kwa mwaka 2014 inatambulika kwa jina la Maisha Plus Rekebisha, kutoka nchini Kenya, Rwanda,Uganda na Burundi tayari wameshawasili nchini na jana wameelekea wako mkoani Morogoro kushiriki shughuli za kijamii.
Mratibu wa onyesho hilo, Ally Masoud Kipanya amesema hili ni kundi la tatu kushiriki shughuli za kijamii, ambapo kundi la kwanza lilikuwa Iringa, kisha la pili likaenda Zanzibar na hili la tatu linaenda Morogoro kushiriki shughuli za...
9 years ago
Bongo523 Sep
Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari
Muigizaji wa tamthilia nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Nana Gichuru Jumanne hii alipoteza maisha kwa ajali mbaya ya gari baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lori. Nana enzi za uhai wake Polisi na mashuhuda walidai kuwa muigizaji huyo huenda alikuwa akijaribu kuyapita magari kadhaa mbalimbali wakati akiwa kwenye gari yake aina […]
10 years ago
Vijimambo06 Apr
MWANACHUO MJAMZITO WA GARISSA, KENYA AJIFANYA AMEKUFA KWA SAA 10 KUNUSURU MAISHA YAKE
![](http://nairobinews.co.ke/wp-content/uploads/2015/04/editor4561598728425410837-524x350.jpg)
Mwananfunzi mmoja Milicent Murungi wa chuo kikuu cha Garissa ambaye ni mjamzito wa miezi 8 amesema ilibidi ajifanye amekufa chuo chao kilipovamiwa na wapiganaji wa Al shabab na kuua wanachuo wasiokua na hatia.
Milicent Murungi akiongea na waandishi wa habari alisema ilibidi ajifanye amekufa kwa saa 10 baada ya wenzake waliokua nao kwenye chumba hicho kuawa na yeye kuchukua damu ya mmoja ya wanafunzi kujipaka kichwani wakati...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania