Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi walizwa kupanda kwa gharama Muhimbili

Baadhi ya wananchi wamelalamikia mabadiliko ya gharama za utoaji huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa madai kuwa wanaumia kutokana na kuwa na vipato vidogo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Askofu Mkude aonya kupanda gharama za umeme

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude, amesema ,kupanda kwa gharama za umeme kwa asilimia zaidi ya 40 kuanzia Januari 2014 , si habari nzuri hata kidogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Gharama za kitanda zapanda Muhimbili

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imepandisha gharama za huduma hospitalini hapo na sasa mgonjwa atakayelazwa atalazimika kulipa Sh5,000 kwa siku.

 

5 years ago

CCM Blog

WANANCHI KIGOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPELEKEA UMEME WA GHARAMA NAFUU

Ofisa Huduma kwa Wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel Matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA

CCM Blog, Kigoma
SHIRIKA la Umeme Tanesco kupitia idara yake ya masoko imeendesha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Kigoma kuchangamkia fursa ya kuwekewa umeme wa REA ambao mkandarasi bado anaendelea na kazi kwenye vijiji mbalimbali mkoani hapa.
Elimu hiyo iliyoanza kutolewa kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MTANDAO IMEPUNGUZA GHARAMA ZA HUDUMA KWA WANANCHI NA MIANYA YA RUSHWA SERIKALINI-Dkt.MWANJELWA

Na. Aaron Mrikaria-Dodoma Utoaji huduma kupitia Serikali Mtandao katika Taasisi za Umma nchini umekuwa na tija kwa wananchi kwa kuwapunguzia gharama za kusafiri umbali mrefu kufuata huduma katika Taasisi za Umma, ikiwa ni pamoja na kupunguza mianya ya rushwa kwa watumishi wanaowahudumia wananchi  katika taasisi za umma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa jijini DODOMA wakati akizungumzia maboresho ya huduma...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wagoma kupanda mabasi

KITUO Kikuu cha Mabasi mjini Mpanda, mkoani Katavi kilikumbwa na tafrani jana baada ya abiria kugoma kusafiri na mabasi mawili baada ya kubaini matairi yake yamechakaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa kupanda miti

MKUU wa Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, Evarista Kalalu, amewataka wananchi  wa wilaya hiyo kujenga tabia ya kupanda miti na kutunza mazingira kwa lengo la kukabiliana na changamoto za mabadiliko...

 

9 years ago

StarTV

Huduma Muhimbili yasimama tena, Wananchi washangaa

Mashine ya MRI iliyoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, iliyoanza kazi siku chache zilizopita imeharibika na kushindwa kufanya kazi tena na kusababisha kusimama kwa huduma za vipimo kwa wagonjwa wanaopaswa kupimwa na mashine hiyo.

Mashine hiyo ilianza kufanya kazi Baada ya tamko la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli alilolitoa siku chache baada ya kuapishwa na kuutaka uongozi wa Hospitali hiyo uhakikishe mashine za CT-SCAN na MRI zinafanya kazi jambo ambalo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafugaji ‘walizwa’ na uchomaji moto misitu

Wafugaji wa nyuki wameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kukomesha uchomaji moto misitu kwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa kiwango cha uzalishaji asali.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani