Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghiggia na goli lake la mwaka 1950

Mshambuliaji wa Uruguay Alcides Edgardo Ghiggia aliyeifungia timu yake goli la ushindi dakika 10 kombe la Dunia mwaka 1950 afariki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

James Rodriguez aipeleka Colombia robo fainali kwa goli la mwaka

Colombia imepeleka mashabiki wake wanaovutia kwa ushangiliaji wao hadi kwenye robo fainali za kombe la Dunia baada ya nyota wake James Rodriguez akifunga mabao yote. Colombia waliifunga Uruguay ya mng’ata meno Suarez bao 2-0 katika mchezo wao wa raundi ya 16 kweny uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro jana.

Angalia goli la mwaka la Rodriguez ambalo ni tamu sana kiasi hata huchoki kuangalia. Huku goli la adui likiwa nyuma yake, kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 kwanza aliweka gambani...

 

10 years ago

Raia Mwema

Siasa katika mji wa Dar es Salaam miaka ya 1950

NALIKUMBUKA eneo la Gerezani kama vile ilikuwa jana.

Mohamed Said

 

10 years ago

BBCSwahili

UN kuzindua ombi lake la kila mwaka

Umoja wa mataifa utazindua ombi lake la msaada wa kibinadamu wa mwaka 2015 baadaye leo kwa ajili ya kukabiliana na madhara ya vita na mizozo ya kibinadamu duniani kote. kusaidia

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA YA MWAKA: Kila kizazi kina jukumu lake kwa taifa husika

>Ndugu wasomaji wangu leo ninaanza safari mpya tena ndefu hasa kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ambao kimsingi ni mgumu sana, kwani rais wetu Profesa Jakaya Kikwete anaondoka na ni lazima tuchague rais mwingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Goli la mkono si la bahati mbaya

Uchaguzi Mkuu unakaribia. Kukaribia kwa uchaguzi huu, kumeanza kuzuka kwa kauli tata kutoka kwa baadhi ya wanasiasa.

 

9 years ago

GPL

WAYNE ROONEY AIFUNGIA ENGLAND GOLI LA 50

San Marino na England, mechi ya kufaulu -UEFA-EURO-2016 Slovenia vs England. Goli lingine la Wayne Rooneys kwa timu yake ya England.…

 

10 years ago

Raia Tanzania

Ukawa inajifunga goli la mkono yenyewe!

SITAKI kuamini kwamba safari ya vyama vya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwisho wake ni kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Sitaki kuamini kutokana na matamko yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa umoja huu baada ya uamuzi wao wa kususia
mijadala iliyokuwa ikiendelea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta.
Ilikuwa ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, aliyehamasisha wajumbe wa Bunge...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono

The post Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ccm na goli la Mkono ktk uchaguzi wa Okt 25

The post Ccm na goli la Mkono ktk uchaguzi wa Okt 25 appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani