Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GHOROFA LAVUNJWA MBEZI KUPISHA MABOMBA YA DAWASCO

Sehemu ya ghorofa iliyobomolewa ili kupisha upitishaji wa bomba hilo. Mtaro ukipita karibu na ghorofa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la Tanzania lavunjwa rasmi

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania hii leo amehutubia rasmi bunge la 10 la nchi hiyo na kulivunja rasmi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kaburi la Sheikh Yahya lavunjwa Dar

>Watu wasiojulikana wamevunja makaburi, likiwamo la marehemu Sheikh Yahya Hussein lililopo jirani na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILALA LAVUNJWA

 Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza katika mkutano wa madiwani wa manispaa ya Ilala uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana. Madiwani wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika baraza la kuvunja baraza lao jana katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikiristo na Dini ya Kiislam wakifuatilia mkutano wa kuvunjwa kwa baraza la madiwani wa Manispaa ya ilala katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo...

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA LAVUNJWA RASMI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa,  Amani Mwamwindi akufafanua jambo wakati wa kikao cha mwisho cha baraza hilo jana. Kulia kwake walioketi ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mh. Amina Masenza, Mkuu wa Wilaya ya Iringa Andelina Mabula akifuatia na Naibu Meya Gervas Ndaki.
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Fedha na Biashara imekusanya jumla ya 5,357,849,597/- kati ya hizo 1,010,046,997/- in mapato ya ndani katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Julai 2014/2015.
Akisoma taarifa...

 

9 years ago

Mtanzania

Mgombea apigwa, gari lake lavunjwa vioo

RPCNa Walter Mguluchuma, Katavi

ZIKIWA zimesalia siku 32 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, mgombea ubunge Jimbo la Mpanda Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mussa Kantambi, amepata kipigo kutoka kwa wafusi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na MTANZANIA mjini Mpanda jana, Kantambi  alisema alipigwa vibaya, huku gari lake likivunjwa kioo cha mbele baada ya kupita eneo ambalo CCM walikuwa wakifanya mkutano.

Alisema tukio hilo,...

 

10 years ago

Vijimambo

KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE

Kanisa la lisilo rasmi la mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua iliosainiwa na Meneja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba lavunjwa rasmi leo mjini Dodoma

10

Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia alikuwa ni mjumbe wa Buge Maalum la Katiba, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi leo mjini Dodoma.

11

Aliyekuwa Makamu wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza bunge hilo mjini Dodoma wakati wa ufungaji wa bunge hilo leo 2 Septemba, 2014.

13

Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAVUNJWA, RAIS MWINYI ALIMWAGIA SIFA

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na madiwani na watendaji wa Manispaa hiyo wakati wa kikao maalum cha kuahirisha Baraza hilo kilichofanyika jana Dar es Salaam. Wengine ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wa Manipss hiyo, Eng. Mussa Nati (kulia).Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimtambulisha Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa Madiwani wa Manispaa hiyo baada ya kuwasili kwenye ofisi za Manispaa hiyo kuhudhuria hafla maalum...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabomba yakwamisha ufunguaji barabara Dar

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imesema kutokamilika kwa barabara ya Posta ya zamani hadi Kivukoni, Dar es Salaam kumekwamishwa na mabomba ya maji taka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani