Giroud ahesabiwa saa Arsenal
Licha ya kung’ara na kuivusha klabu yake, Arsenal dhidi ya Olympiakos, Jumatano usiku kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini mshambuliaji Olivier Giroud ameambiwa jambo ambalo litamnyima usingizi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Dec
Olivier Giroud aingia kwenye vitabu vya rekodi za Arsenal
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya tafifa ya Ufaransa Olivier Giroud baada ya kufunga wikiend hii amefikisha idadi ya magoli 50 katika ligi ya EPL goli hilo la mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Aston Villa baada ya Alan Hutton kumvuta Theo Walcott kwenye eneo la box.
Giroud alifunga mkwaju huo wa penati na kufikisha magoli 14 msimu huu na kuwa mchezaji wa saba wa Arsenal kufunga magoli 50 kwenye ligi ya EPL wakati yeye ikimchukua michezo 113 kufikia rekodi hiyo.
Wachezaji...
10 years ago
GPL10 years ago
Mtanzania12 Jun
Waziri wa JK ahesabiwa kwa Lowassa
NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Steven Masele, ametangaza kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa katika harakati zake za kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Masele aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini kabla ya Baraza la Mawaziri kuvunjwa, jana aliibukia katika mkutano wa kutafuta wadhamini wa Lowassa uliofanyika mjini Shinyanga na kusema sasa kada huyo wa CCM anasubiri kupitishwa na vikao vya...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Wenger na Giroud watuzwa na EPL
10 years ago
Michuzi02 Jul
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Giroud akiri kufunga kwa mkono
LONDON, ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Olivier Giroud, amekiri kuwa mkono wake ulisaidia kupatikana kwa bao la kwanza la timu yake katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich juzi usiku kwenye Uwanja wa Emirates, England.
Katika mchezo huo wa raundi ya tatu wa Kundi F, Arsenal walishinda mabao 2-0, lingine likiwekwa kimiani dakika za majeruhi na kiungo Mjerumani, Mesut Ozil.
Mfaransa huyo aliyeingia uwanjani dakika 13 kabla ya mchezo kumalizika, alifunga bao dakika tatu...
9 years ago
Michuzi01 Nov
9 years ago
VijimamboWATU WAMESHAANZA KUPIGA KURA SAA MOJA ASUBUHI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI
Hapa wananchi wakihakiki majina yao kwenye ubao wa kuhakiki majina hili kupata fursa ya kupiga kuraHapa ni karatasi ya upigaji kura kuanzia ya urais ubunge na udiwani baada ya kuhakiki jina lako unakuja hapa na kukabiziwa karatasi hizi tatu ili kukamirisha zoezi zima na upigaji kura. Mwanachi akiakiki jina lake kwenye ubao wa majina ya wapigaji kura kituoni hapo
Mabox ma 3 ya kupigia kura kuanzia uraisi ubunge na udiwani.