Giroud akiri kufunga kwa mkono
LONDON, ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Olivier Giroud, amekiri kuwa mkono wake ulisaidia kupatikana kwa bao la kwanza la timu yake katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich juzi usiku kwenye Uwanja wa Emirates, England.
Katika mchezo huo wa raundi ya tatu wa Kundi F, Arsenal walishinda mabao 2-0, lingine likiwekwa kimiani dakika za majeruhi na kiungo Mjerumani, Mesut Ozil.
Mfaransa huyo aliyeingia uwanjani dakika 13 kabla ya mchezo kumalizika, alifunga bao dakika tatu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Wolper akiri kujipendekeza kwa Diamond, Zari
Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’.
Imelda mtema
BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza kwa hao watu.
Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na kufikia hadi hatua ya kumtukana.
“Kiukweli mimi ni binadamu,...
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Mangula akiri kuwapo kwa mpasuko TCD
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Aaidhibiwa kwa kuomba baada ya kufunga
9 years ago
StarTV06 Oct
Sheikh Mkuu akiri kuwepo kwa uvunjifu wa taratibu maafa ya minna.
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abu Bakari Zuberi Ali amekiri maafa yaliyotokea mjini Minna wakati wa kuhiji kuwa yametokana na uvunjwaji wa taratibu zilizowekwa na wenyeji.
Licha ya baadhi ya miili ya mahujaji kutoka Tanzania kupatikana na kuzikwa huko bado mpaka sasa zaidi ya mahujaji 16 hawajulikani walipo.
Baada ya kurejea nchini salama akitokea Saudi Arabia alikokwenda kuhiji, Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abu Bakari Ali anakutana na waandishi wa habari katika ofisi za BAKWATA na...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Wenger na Giroud watuzwa na EPL
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Giroud ahesabiwa saa Arsenal
10 years ago
Habarileo28 Mar
Wafanyabiashara washinikiza korti kwa kufunga maduka
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja, kufutiwa dhamana na Mahakama na kupelekwa rumande, wafanyabiashara sehemu mbalimbali nchini, wamefunga maduka kushinikiza kuachiwa kwa kiongozi wao.
10 years ago
Habarileo11 Dec
21 mbaroni kwa kufunga barabara Dom - Moro
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu 21 wakituhumiwa kushiriki katika kuchochea vurugu, kuchoma moto matairi na kufunga barabara kuu ya Morogoro – Dodoma kwa saa sita eneo la Dumila Tarafa ya Magole wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.