Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ONLINE: TAZAMA ATHARI ZA MVUA JIJINI DAR ES SAALAM

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAZAMA ATHARI YA MVUA ILIONYESHA JIJINI DAR NA KUPELEKEA UHARIBIFU MKUBWA WA MIUNDOMBINU KAMA HIVI.

Athari ya mvua hasa kwa miundo mbinu ni kubwa,pichani ni sehemu ya barabara ya mbezi chini ikiwa imekatika kufuatia mvua kubwa ilionyesha siku nzima ya jana.Uchafu mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto mbezi chini ukiondolewa baada ya maji ya mto huo yaliyokuwa yakitiririka kwa kazi,kuziba kwa daraja hilo ilipelekea maji ya mto huo kupita juu ya daraja na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na sehemu nyingine.Athari kubwa ya mvua iliyopelekea kuleta adha kubwa katikati ya jiji la...

 

11 years ago

GPL

WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR WAPEWA MAKOTI YA MVUA NA GLOBAL PUBLISHERS

Wauzaji wa magazeti wa Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Global Benjamin Mwanambuu (katikati) na John Mwaipaja (wa kwanza kulia).…

 

9 years ago

StarTV

Ujenzi waendelea kwa kasi mabondeni Dar es Salaam licha ya athari za mvua

Shughuli za kuendeleza maeneo ya Mabondeni jijini Dar es Salaam zinachukua kasi kubwa licha ya Serikali kutoa tahadhari na kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama.

Hatua hiyo inachukuliwa kutokana na uelewa mdogo wa jamii juu ya madhara yanayotokea pindi mvua nyingi zinaponyesha na kusababisha maafa kwa jamii iishiyo maeneo hayo.

Katika hali ya kushangaza maeneo haya ya mabondeni ambayo Serikali imekuwa ikizuia watu kuishi, kutokana na kuwa hatarishi kwa maisha, wakati mvua za masika...

 

9 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: WIZKID LIVE IN DAR

MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid ametua nchini usiku huu tayari kwa onyesho lake litakalofanyika hapo baadaye kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: DAR LIVE BONANZA LILIVYOFUNIKA

Global TV Online inakuletea matukio ya Dar Live Bonanza lililofanyika jana Jumapili, Machi 2 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live na kushirikisha klabu mbalimbali za Jogging jijini Dar.

 

10 years ago

GPL

DAR MODERN TAARAB YATINGA GLOBAL TV ONLINE

Waimbaji wa Kundi la Dar Modern Taarab wakiwa tayari kwa mahojiano. Kiongozi wa kundi la Dar Modern Taarab, Hassan Vocha akisikiliza swali kutoka kwa waandishi (hawapo pichani). Dar Modern Taarab wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mahojiano na Global TV.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani