Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ONLINE: MADHARA YA MAFURIKO JIJINI DAR LEO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MADHARA YA MVUA ILIYONYESHA LEO JIJINI DAR

Magari yakipita katika madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua kubwa ya maji iliyonyesha leo kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akagua waathirika wa Mafuriko Buguruni jijini dar leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mack Sadik akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mfereji ulioziba kutokana na uchafu na kusababisha mafuriko katika makazi ya watu eneo la Buguruni Mnyamani jijini Dar es Salaam leo.Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipita katika mitaa mbalimbali ya Buguruni leo wakati wa zoezi la kuwafariji waathirika wa mafuriko huko Buguruni Mnyamani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mtoto Irene ambaye nyumba yao imeathiriwa na mafuriko huko Buguruni...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE YAZINDULIWA RASMI LEO

Wema Sepetu na Profesa Jay wakikata utepe kuzindua rasmi Global Tv Online leo ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd. Wema na Prof Jay wakifungua kitambaa kuzindua Global Tv Online.…

 

10 years ago

GPL

NISHER ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO

Producer wa video za muziki Tanzanzia kutoka Arusha, Nisher kabla ya mahojiano na Global TV Online. Nisher akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

10 years ago

GPL

JUX ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Jux akipozi katika studio za Global TV Online leo. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Jux.…

 

10 years ago

GPL

LA VEDA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Irene Neema Vedastous 'La Veda'. MTANZANIA aliyekuwa anashiriki shindano la Big Brother Hotshots, Irene Neema Vedastous 'La Veda', leo atakuwa ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd akifanya mahojiano ya Global TV Online kuanzia saa 5 asubuhi. Mshiriki huyo atakuwa na mambo mengi ya kuongea maana tangu atue Bongo hajafanya mahojiano sehemu nyingine yoyote. Hivyo wewe shabiki wa La Veda usikose kutembelea Ukurasa wetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani