Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GST waandaa kitabu kufundisha miamba Msingi

WAKALA wa Jiolojia Tanzania (GST) wameandaa kitabu na kasha lenye aina mbalimbali za miamba na madini kwa ajili ya kufundishia katika shule za msingi ili kuwajengea watoto uelewa wa madini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wenye digrii mbioni kufundisha msingi

Rais Jakaya Kikwete akiangalia vikundi vya ngoma katika kituo kikuu cha mabasi mjini Mbinga baada ya kuwasili akitokea wilaya ya Nyasa. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Senyi Ngaga. (Picha na Muhidin Amri).RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari

Matokeo mapya yalichapishwa kwenye jarida la kisayansi limesema kuwa uundwaji huu ulikuwa wa utulivu , miamba ikijikusanya pamoja

 

9 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

GST yataka usafirishaji madini ghafi usitishwe

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) umeitaka Serikali kusitisha usafirishaji wa madini ghafi nje ya nchi ili kuwanufaisha zaidi wananchi na kuongeza Pato la Taifa.

 

10 years ago

Vijimambo

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA (GST) WAFANYA MAFUNZO YA AWALI

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) yafanya mafunzo ya awali kwa baadhi ya waajiriwa wapya juu ya sheria , maadili , kanuni na taratibu za kazi kwa mtumishi wa Umma ,Pichani mbele ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa GST , Bi Augustine Rutaihwa , Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa GST , Bw . Gabriel Kasase na Bw. Rodney F. Matalis ambaye ni muwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Tume ya Usuluhishi na Upatanishi (CMA) kanda ya Kati - DODOMA.

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA GST LEO YAKABIDHI KOMBE BAADA YA SHIMIWI KUMALIZIKA

Klabu ya michezo ya Wakala wa Jiolojia Tanzania, yafanya vizuri katika mashindano ya Shirikisho la michezo ya Wizara , Idara na taasisi za serikali (SHIMIWI) yaliyofanyika mkoani Morogoro kwa mwaka 2014.
Katika mashindano hayo klabu ya GST iliweza kupeleka wanamichezo katika mchezo wa mpira wa pete , kuvuta kamba , riadha , mbio za baiskeli , draft , dasti na mchezo wa bao , katika michezo hiyo GST imeweza kupata medali mbili za shaba kutoka mchezo wa mbio za mita 100 , kombe moja kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania atembelea banda la GST

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Dkt. Mussa Daniel Budeba  (kushoto) ametembelea banda la GST katika maonesho ya  kimataifa ya uwekezaji sekta ya madini Tanzania yanayofanyika katika ukumbi wa Julius Kambarage Nyerere jijin Dar es Salam. Dkt. Budeba ameipongeza timu ya GST kwa ilivyojipanga katika kuwahudumia wadau mbalimbali wanaotembelea banda la GST. 
Aidha, kupitia maonesho hayo Dkt.Budeba amepata fursa ya kufanya mazungumzo na wawekezaji mbalimbali...

 

10 years ago

Mwananchi

Miamba 32 yapangiwa makundi

Monaco, Ufaransa. Ratiba ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilipangwa wiki iliyopita mjini Monaco, Ufaransa na ikionyesha mechi za hatua hiyo ya makundi zitaanza kuchezwa Septemba 16 na 17, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani