Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania atembelea banda la GST

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Dkt. Mussa Daniel Budeba  (kushoto) ametembelea banda la GST katika maonesho ya  kimataifa ya uwekezaji sekta ya madini Tanzania yanayofanyika katika ukumbi wa Julius Kambarage Nyerere jijin Dar es Salam. Dkt. Budeba ameipongeza timu ya GST kwa ilivyojipanga katika kuwahudumia wadau mbalimbali wanaotembelea banda la GST. 
Aidha, kupitia maonesho hayo Dkt.Budeba amepata fursa ya kufanya mazungumzo na wawekezaji mbalimbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA (GST) WAFANYA MAFUNZO YA AWALI

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) yafanya mafunzo ya awali kwa baadhi ya waajiriwa wapya juu ya sheria , maadili , kanuni na taratibu za kazi kwa mtumishi wa Umma ,Pichani mbele ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa GST , Bi Augustine Rutaihwa , Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa GST , Bw . Gabriel Kasase na Bw. Rodney F. Matalis ambaye ni muwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Tume ya Usuluhishi na Upatanishi (CMA) kanda ya Kati - DODOMA.

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA, AZURU KATIKA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA, POLISI, MAGEREZA NA MENGINEYO

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Bi. Jackline Maleko, Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE  alipowasili viwanjani hapo kutembelea Maonesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa mapema. Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho ya Sabasaba lengo likiwa ni kutoa elimu kwa wananchi juu ya taratibu na huduma mbalimbali zinazotolewa. Katika Banda la Mahakama kuna uwakilishi wa Mahakama za Mwanzo, Wilaya, Mkoa/Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufani, Tume ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA , YAFANIKIWA KUKAMILISHA UTAFITI WA KUTENGENEZA VIKOMBE VYA KUPIMIA DHAHABU(CRUSIBLE)

Na Samwel Mtuwa.
Wakala wa Jiolojia Tanzania , umefanikiwa kupunguza gharama za upimaji wa sampuli za dhahabu katika maabara yake kwa kufanikiwa kwa asilimia mia moja kuweza kutengeneza vikombe vya kupimia dhahabu (Crusible) ndani ya maabara yake ya Jiolojia mkoani Dodoma.
Kwa mujibu wa mtaalam wa Jioloji katika Maabara ya GST, Bw. Philipo Momburi alieleza kuwa hapo awali maabara ilikuwa inaagiza vikombe vya kupimia dhahabu maabara kutoka nje ya nchi , jambo ambalo lilikuwa likiingiza taasisi...

 

10 years ago

Michuzi

Simbachawene atembelea Banda la Tanzanite One katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, jijini Arusha

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipata maelezo kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Faisal Juma Shabhai na Hussein Gonga, kuhusiana na uchimbaji wa madini ya Tanzanite, baada ya kutembelea kituo cha kampuni hiyo, katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, yanayoendelea Mount Meru hotel.

 

5 years ago

Michuzi

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, awapongeza wataalamu

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam .
MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir ameitembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuwapongeza wataalamu wake kwa kuendelea kutoa huduma bora kwa Watanzania, licha ya kuwapo janga la ugonjwa wa Corona.

Sambamba na hilo, Mufti Zubeir amewajulia hali wagonjwa na kuwaombea dua kwa Mwenyezi Mungu ili hali zao zizidi kuimarika baada ya kufanyiwa matibabu dhidi ya matatizo ya moyo yaliyokuwa yakiwakabili.

Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Wassira atembelea Banda la Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi na Taasisi zake katika maonesho ya miaka 50 ya Muungano

PIX 1

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaack Nantanga akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira (kushoto) katika Banda la Wizara hiyo, kupata taarifa mbalimbali za Muungano zinazotekelezwa na wizara hiyo pamoja na taasis zake. Maonesho ya siku tano ya Miaka 50 ya Muungano yanafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

PIX 2

Ofisa wa Jeshi la Polisi,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA MAX MALIPO

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Maxcom Africa Limited, Bwa.Ahmed Salum Lussasi akielezea namna mashine ya MaxMalipo inavyoweza kufanya kazi katika suala zima la jamii kujikwamua na umaskini,ikiwemo hasa kwa wajasiliamali mbalimbali,kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam ambapo Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda alipita kujionea huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni hiyo. Waziri Mkuu Pinda,akisalimiana na baadhi...

 

10 years ago

Mwananchi

GST yataka usafirishaji madini ghafi usitishwe

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) umeitaka Serikali kusitisha usafirishaji wa madini ghafi nje ya nchi ili kuwanufaisha zaidi wananchi na kuongeza Pato la Taifa.

 

11 years ago

Michuzi

Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali atembelea shamba la mkuu wa wilaya ya mvomero

 Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka  ( kulia) akimwonesha Mhariri Mtendaji  wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Bw. Gabriel Nderumaki ,aina ya ufuta naozaa kwa wingi wakati alipotemtembeza  kuona Mradi wa Kilimo wa Mkuu wa Wilaya hiyo, lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 100  linalojumuisha kilimo cha mahindi , Ufuta na ufugaji wa samaki , katika Kijiji cha Lubungo, wilayani humo.  Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani