Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakimu Mirumbe afariki dunia Dar

 Hakimu mkazi mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Gabriel Mirumbe (54), amefariki dunia katika Hospitali ya TMJ jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Shahidi kesi ya rushwa ya Hakimu afariki dunia

UPANDE wa mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wameithibitishia Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba aliyetakiwa kuwa shahidi wa pili katika kesi ya rushwa ya Sh 50,000 inayomkabili Hakimu Grace Kivegele na Karani wake, Rose Kuhima wa Mahakama ya Mwanzo Buruguri, amefariki dunia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandishi afariki dunia Dar

MWANDISHI wa habari mkongwe, Maurus Sichalwe, amefariki dunia jana nyumbani kwake Mwananyamala Kanisani, Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 83. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwakapugi afariki dunia Dar es Salaam

Aliyekuwa Katibu Mkuu wizara ya Nishati na Madini, Arthur Mwakapugi amefariki dunia jana alipokuwa amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya Kansa ya Ini.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Mhita afariki Dunia Dar es salaam

Patricia Kimelemeta
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa(TMA), Dk Mohamed Mhita amefariki Dunia juzi katika Hospitali ya Agha Khan baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na malaria na alipelekwa hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu.
Alisema wanatarajia kuzika leo baada ya kuwasili kwa mke wa marehemu, Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita...

 

10 years ago

Mwananchi

Nabii aliyejitabiria kifo afariki dunia Dar

Mwanzilishi wa Kanisa la The Pool of Siloam, Nabii Eliya Adam amefariki dunia juzi mchana, muda mfupi baada ya kuwaeleza wasaidizi wake kuwa siku hiyo ndiyo ilikuwa ya mwisho kwake kuishi duniani.

 

11 years ago

Mwananchi

Patrick Qorro afariki dunia Dar es Salaam

>Aliyekuwa Mbunge wa Karatu na waziri mdogo kwa umri Wizara ya Kilimo na Ushirika Serikali ya awamu ya kwanza, Patrick Qorro (72) amefariki dunia usiku wa kuamkia juzi baada ya kuugua kwa muda mfupi Dar es Salaam.

 

10 years ago

CloudsFM

MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR

ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013 AFARIKI DUNIA JIJINI DAR.

  Marehemu Bi Aziza enzi za uhai wake. Kikundi cha Unity Of Women Friends,Kupitia mradi wao wa Mwanamakuka Awards  na Washirika wake,Benki ya Wanawake TWB na Clouds Media Group,Wana tangaza kwa masikitiko makubwa ya kumpoteza mshindi wa mwaka jana 2013,Bi Aziza  Mbogolume (pichani).Bi Aziza amefarika mapema jana mchana jijini Dar es salaam,mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo mnamo majira ya saa 9,na msiba upo nyumbani kwake Magomeni mwembechai.Aziza alikuwa ni Mwanamke jasiri...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: MZEE JOACHIM AUGUSTINO NGONYANI AFARIKI DUNIA DAR ES SALAAM

Ndugu Augustino Ngonyani, anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi Mzee Joachim A. Ngonyani kilichotokea alfajiri ya tarehe 6.8.2015, Dar Es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Sinza Makaburini. Mwili wa marehemu utaagwa tarehe 8.8.2015 Jumamosi saa 3 asubuhi katika kanisa la Mt.. Petro Oysterbay na baada ya hapo kusafirishwa siku hiyo hiyo kwenda Songea kwa Mazishi. Mazishi ya Mzee Ngonyani yanatarajia kufanyika siku ya Jumatatu 10.08.2015, Kijijini Kwake Parangu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani