Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAKUNA HOBI YA NGONO, UGONJWA

MARA kadhaa utakuwa umekutana na marafiki wanaozungumza maneno mengi kuhusu ngono. Baadhi wanapozungumza, wanaonyesha wazi kutopendezwa na hali yao ya kupenda ngono kupita kiasi, lakini wengine huongea kwa kujisifu kwa vile ni mahodari wa kushiriki tendo lile. Wanaojisifu, ndiyo hawa huja na kauli kuwa wao hobi yao ni mapenzi. Neno hili, hobi, ni la kiingereza linalomaanisha kitu ambacho mtu anakipenda. Mtu atasema hobi yake ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ANKO LUNDENGA: HAKUNA MISS TANZANIA ANAYESHINDA KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO

MWASISI na muandaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, ‘Uncle Lundenga,’ amefunguka kuwa wanaoshinda Umiss Tanzania hawashindi kwa rushwa ya ngono. Lundenga (58) Mkurugenzi wa Rhino International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya urembo Tanzania ni mmoja wa wadau muhimu sana katika tasnia ya urembo, alianza kujihusisha na kuendesha mashindano hayo ya Miss Tanzania mwaka 1994 ambapo ndipo shindano la...

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA IPO SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA

   Na Englibert Kayombo, WAMJW, Arusha.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewahakikisha Watanzania kuwa nchi bado iko salama na hakuna mgonwjwa yeyote mwenye ugonjwa wa Virusi vya Corona. 
Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NI SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA -DKT NDUGULILE


Na Englibert Kayombo, WAMJW, Arusha.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewahakikisha Watanzania kuwa nchi bado iko salama na hakuna mgonwjwa yeyote mwenye ugonjwa wa Virusi vya Corona.

Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa huo....

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA MAPENZI NI HOBI YANGU

Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha ameibuka na kutoa kali ya mwaka kwamba anapenda mapenzi kuliko kitu kingine chochote duniani. Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema ‘hobi’ yake ni mapenzi japokuwa anapenda muziki lakini haifikii jinsi anavyoyapenda mapenzi kwani yanampumzisha akili yake na kumfurahisha moyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Vijimambo

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani