Halmashauri Magu yapigwa jeki
NA SARAH ONESMO, MWANZA
HALMASHAURI ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, imepokea vifaa vipya vya afya na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).
Msaada huo umetolewa na Taasisi ya Grena Youth Production School (GYPS) ya Denmark na utaihusu Kata ya Nyanguge, ambako tayari vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa uongozi.
Vifaa hivyo ni robota moja ya mashuka ya wagonjwa, nguo za madaktari na wauguzi, mashine ya utrasound, mashine moja ya EKG ya kupimia wagonjwa wa moyo na kompyuta 95.
Akizungumza na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Zimamoto Mwanza yapigwa jeki
NA BLANDINA ARISTIDES, MWANZA
KIKOSI cha Zimamoto mkoani Mwanza, kimepokea msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya sh. milioni mbili kutoka washirika wa maendeleo.
Msaada uliokabidhiwa ni buti jozi sita, majaketi 12, makoti 15, suruali 22, kofia ngumu 10, kofia za kawaida 10, fulana tano na ovaroli mbili kwa ajili ya utekeleza wa majukumu yao ya kazi.
Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto, Inspekta Augustine Magere, alisema kutokana na kuongezeka kwa idadi kubwa ya watu katika jiji la...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Huduma ya afya yapigwa jeki
SHIRIKA la Walter Red Program (HJFMRI) limetoa msaada wa pikipiki 24 zenye thamani ya sh. 52,800,000 kwa Halmashauri za Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kutolea huduma za afya ili kusaidia ufuatiliaji wa wagonjwa ...
11 years ago
Dewji Blog16 Jul
Sekta ya afya yapigwa jeki nchini
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid.
Na Mwandishi wetu
Serikali ya Tanzania imetia sahihi ya msaada wa fedha, dolla za kimarekani Milioni 66.1 ambazo sawa na bilioni 108.5 za kitanzania kutoka kwa Wadau wa maendeleo ili zitumike kuboresha sekta ya Afya.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya kusaini makubaliano hayo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile alisema fedha hizo zitaingia kwenye mfuko wa pamoja wa Afya ili kuboresha...
9 years ago
Habarileo20 Nov
Shule yapigwa jeki vifaa vya elimu
TAASISI ya masuala ya jamii ya Vodacom Foundation imetoa msaada wa vifaa vya elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Chazinge A, Kisarawe mkoani Pwani. Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati pamoja na kalamu.
9 years ago
MichuziSHULE YA MSINGI MBUYUNI JIJINI DAR ES SALAAM YAPIGWA JEKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGGe3LJ0dHasyttnc9M4K6autBMnOXE4byPHFiLJn8HSmPPSVY2lHA4j31KA6IEyPr59N5*g8x1m8dT5PORgXWKL/002.jpg?width=650)
RED CROSS YAPIGWA JEKI KUWASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO KILOSA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s72-c/unnamed+(34).jpg)
HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s1600/unnamed+(34).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yEWLwM7Uvms/U7hIH3tcGvI/AAAAAAAFvMM/3BLMF3LH8Yg/s1600/unnamed+(35).jpg)
11 years ago
GPLHOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jrwh9QAHxC0/Ux7XjrYuAII/AAAAAAAA0XM/ap7kTrxkqhc/s72-c/01.RAN+IT+SOLUTIONS+EA+LTD3.jpg)
LUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PAMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU MAGU SEKONDARI MAGU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-jrwh9QAHxC0/Ux7XjrYuAII/AAAAAAAA0XM/ap7kTrxkqhc/s1600/01.RAN+IT+SOLUTIONS+EA+LTD3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-56yGXK3Z8Bg/Ux7XpPgzyDI/AAAAAAAA0Xk/F273sQf6TGU/s1600/01.RAN+IT+SOLUTIONS+EA+LTD.jpg)