Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALMASHAURI YA JIJI : JE HAWA NI SAHIHI KUWEPO KATIKA ENEO HILI?

Hili ni eneo la Ubungo ambalo limekuwa na wimbi kubwa la wafanya bishara wadogo wadogo kuegesha biashara zao za kila aina pembezoni mwa njia za wapita kwa miguu jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Licha ya usumbufu na kero hiyo, eneo hilo kutokana na msongamano wa watu wengi sana, limekuwa ndio maskani kwa vibaka ambao hujipatia kipato chao bila hata ya jasho kwa kujichanganya humo kama raia wa kawaida na kufanya wizi.
Wakizungumza watumiaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HALMASHAURI YA JIJI LA DAR: JE HAWA NI SAHIHI KUWEPO KATIKA ENEO HILI?‏

Hili ni eneo la Kituo cha Daladala cha  Ubungo jijini Dar, biashara ndogondogo zikiwemo za viatu zinafanyika wakati huo huo waenda kwa miguu nao wakipita eneo hilohiolo. ..... wengine wanauza samaki katika eneo ambalo kiafya si sahihi.…

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa hili Jiji la Arusha linastahili pongezi

Mwishoni mwa mwezi uliopita, Jiji la Arusha liliwaondoa wafanyabiashara wadogo,maarufu kama wamachinga waliokuwa wakiendesha shughuli zao mitaani na maeneo yasiyoruhusiwa kisheria.

 

11 years ago

Habarileo

Wachimbaji, halmashauri ya jiji wazozana

KUANZA kutumika kwa sheria inayowataka wachimbaji wa mawe, mchanga na kokoto kuwa na kibali cha kufanya shughuli hiyo, kumezua mzozo. Mzozo huo ni kati ya wachimbaji wadogo mkoani hapa na halmashauri ya jiji. Juzi takribani wachimbaji wadogo wagogo 2,000 wakiwa na madereva wa malori yanayobeba mchanga, kokoto na mawe, waliandamana hadi eneo la Uhindini, zilipo ofisi za halmashauri ya jiji na kupeleka malalamiko yao.

 

11 years ago

Habarileo

CCM waibana Halmashauri ya Jiji Arusha

KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha miradi yote iliyokuwa imeanza kujengwa inakamilika kwa wakati bila ya kuwa na visingizio.

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri ya Jiji Dar ‘yazinduka usingizini’

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza rasmi usimamizi wa maegesho ya magari jijini Dar es Salaam uliokuwa ukifanywa na Halmashauri za Manispaa Ilala, Kinondoni na Temeke.

 

11 years ago

Mwananchi

Wauza magazeti walalamikia halmashauri ya jiji

Wauza magazeti wa jijini Dar es Salam wamelalamikia operesheni ya kusafisha jiji iliyotekelezwa na askari wa halmashauri ya jiji, wakieleza kwamba haikuwatendea haki kwa kuharibu mali zikiwamo meza na magazeti ambazo zilisombwa na askari hao waliosindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU).

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: MUUNDO WA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA UKAMILISHWE






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma baada ya kuuzindua kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,...

 

11 years ago

GPL

HALMASHAURI YA JIJI YABOMOA MEZA ZA MACHINGA POSTA DAR

Maafande wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi leo wameendelea na bomoabomoa ya meza za wafanyabishara ndogondogo 'Wamachinga' kama walivyonaswa na kamera yetu maeneo ya Posta Mpya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani