HALMASHAURI YA JIJILA TANGA YASISITIZA TAHADHARI YA CORONA

Na Rebeca Duwe, Tanga
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeendelea kutoa tahadhari kwa wakazi wa jiji hilo kutokana mlipuko wa Ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na kirusi cha Corona kwamba wananchi waweze kusimamia maagizo muhimu yanayotolewa na serikali ikiwemo mikusanyiko isiyo ya lazima.
Hayo aliyasema Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mustapha Selebosi wakati akizungumza katika baraza la madiwini lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo ambapo alisema wapo watu bado wana...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
RC TANGA AWATAKA WANANCHI TANGA KUACHA HOFU,BADALA YAKE WAENDELEE KUCHUKUA HATUA YA KUJIKINGA NA CORONA

Aidha amesema kuwa serikali imeendelea kujidhatiti na kufanya kazi kwa ushirikiano katika kipindi hiki pia kuhakikisha inawajali sana na kuwapa kipaumbele wataalamu wa Afya.
Zaidi amewaomba wana Tanga kuacha hofu kama anavyosisitiza Raisi wetu wa Dk.John Pombe...
5 years ago
Michuzi
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
10 years ago
GPL
HALMASHAURI MKOANI TANGA ZAAHIDI KUSAIDIA WATOTO WALEMAVU
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Pinda akutana na mameya na wenyeviti wa halmashauri mjini Tanga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadahi ya washiriki wa mkutanono kati yake na Mameya ya Majijiji Miji na manispaa pamoja na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya mjini Tanga Juni 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YASHUKURU WADAU KWA KUCHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA ‘YASISITIZA UBORA NA USALAMA WA VIFAA VINAVYOTOLEWA

Waziri Ummy Mwalimu akipokea mfano wa hundi wenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na vifaa kinga kutoka Anglogold Ashanti pamoja na Geita Gold Mining Limited(GGML)


Baadhi ya watumishi wa Shirika la Maendeleo la Petrol Tanzania...
5 years ago
MichuziTANGA UWASA YAWATAKA WATEJA KUCHUKUA TAHADHARI WAKATI WA KUPATA HUDUMA KWA KUEPUKA MIRUNDIKANO
Amesema tahadhari hiyo wameichukua ikiwa ni hatua mojawapo kuunga mkono juhudi serikali kuzuia kuingia nchini ugonjwa huo kwa kutoa elimu kwa njia ya jumbe mbalimbali katika maeneo ya ofisi zao,hususani...
9 years ago
StarTV12 Nov
Halmashauri ya Tanga yaagizwa kuandaa mipango ya ujenzi wa hospitali ya wilaya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza aagiza halmashauri ya wilaya ya Mkinga kumueleza namna watakavyojenga hospitali ya wilaya ifikapo mwezi Januari mwaka kesho.
Mahiza ambaye amehamishiwa hivi karibuni katika mkoa huo akitokea mkoani Pwani amesema ni jambo la aibu kwa halmashauri ya Mkinga ambayo imeanzishwa miaka mingi iliyopita kukosa hospitali ya wilaya.
Halimashauri ya wilaya ya Mkinga iliyoanzishwa kwa takribani miaka sita iliyopita kwa lengo la kusogeza huduma karibu na...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
MADEREVA CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Na WAMJW- MBEYA.
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuwaasa madereva wa vyombo vya usafiri kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Anyitike Mwakitalima wakati wa uhamasishaji kwa wananchi wa kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya...