Halmashauri yatenga ekari 10 za makaburi
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imetenga kiwanja namba 675 kitalu ‘E’ chenye zaidi ya ekari 10 kilichoko kata ya Tungi kwa ajili ya makaburi. Utengaji wa kiwanja hicho umekuja baada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Sep
Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20
ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu.
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Mvua yaharibu nyumba, ekari 300 za mashamba
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Ndugu wa Dk Salmin atapeliwa ekari 150 za ardhi
9 years ago
Michuzi10 Sep
EKARI 7000 ZA MASHAMBA KUGAIWA KWA WANANCHI WA ARUSHA.
Aidha baada ya ubatilishwaji wa mashamba hayo Arusha imepata ekari 6176.5 na Halmashauri ya Meru ekari 925 hivyo kufikia ekari 7101 ambazo zitagawanywa kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi,Wiliam Lukuvi wakati...
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Ekari 10 zachukuliwa na mradi wa gesi kwa Sh300,000 tu
9 years ago
GPLSIMULIZI YA MRISHO MPOTO: ATENGA SHAMBA EKARI 35, KUSAIDIA VIJANA KIMUZIKI
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AJIBU BARUA YA KIKONGWE, AAMURU APEWE EKARI, BIBI AMSHUKURU (+VIDE)
Kikongwe wa Miaka 89 amekabidhiwa shamba la ekari moja na kiwanja cha makazi Kwa maelekezo ya Rais Magufuli baada ya kumuandikia barua na kumlalamikia eneo lake kutwaliwa na kujengwa mnada mwaka 1999.Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya wamefika Kijiji cha Kimashuku na kumkabidhi Bi Hawa Juma Shila eneo hilo huku Dc akimtaka Afisa Ardhi kuanza haraka utaratibu wa kumkabidhi hati ya eneo hilo aliloonyeshwa.
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mvua kubwa zaaribu zaidi ya ekari 10 za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida!!
Vifaa vya kufungua maji ili yaweze kusambazwa katika vito vya kusambazia maji ili wananhi waweze kuanza kunufaika na mradi huo ambao mpaka sasa haijulikani huduma hiyo itaanza kutolewa lini maana mkandarasi licha ya mkandarasi kutomaliza kazi,vile vile hajulikani alipokwenda.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na,Jumbe Ismailly,
[SINGIDA] Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Singida zimeharibu zaidi ya ekari kumi za mashamba ya wakulima 30 wa Kijiji cha Mtipa,Manispaa ya Singida kufuatia...