Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimaye mabenki yafunguliwa Ugiriki

Mabenki nchini Ugiriki yanafunguliwa leo kwa mara ya kwanza katika mkipndi cha majuma matatu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mabenki Yakumbushwa Kuijali Jamii

Na Pascal Mayalla   Umetolewa wito kwa Mabenki kote nchini, zaidi ya kuzihudumia jamii kwa huduma za kifedha, pia ziikumbuke jamii inayowazunguka kwa kutoa huduma nyingine za kijamii, kama kusaidia mashule, mahospitali na jamii mbali hitaji, zinazohudumiwa na benki hizo.   Wito huo, umetolewa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba, Bw. John Almasi, wakati wa maandimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambapo menejimenti na wafanyakazi wa Benki ya CRDB Lumumba, walifanya huduma za...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wambaini kinara wa wizi wa mabenki Dar

Mtuhumiwa kinara wa wizi wa mabenki, Ronald Mollel JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kubaini mtuhumiwa kinara wa wizi wa mabenki, Ronald Mollel (37), ambaye ni mume wa Meneja wa Benki ya Barclays tawi la Kinondoni, Alune Kasililika, anayeshikiliwa na jeshi hilo.

 

11 years ago

Habarileo

BoT yatakiwa kupunguza riba kwa mabenki

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi ameomba menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuangalia uwezekano wa kupunguza riba kwa benki za kawaida, zinazotoa mikopo kwa wajasiriamali na wananchi wa kawaida.

 

5 years ago

Ykileo

ANGALIZO KWA MABENKI DHIDI YA UHALIFU WA ATM JACKPOTING


KWA UFUPI: ATM jackpotting imgonga Hodi Nchini Marekani ambapo imesababisha upotevu mkubwa wa fedha zinazo kadiriwa kuzidi kiasi cha Dola milioni moja hadi sasa.

----------

Kumekua na aina nyingi za uhalifu mtandao unaolenga mashine za ATM ambao umekua ukiathiri mabenki mengi maeneo mengi duniani.



Mataifa ya Afrika yamesha kumbwa na changamoto za uhalifu katika mashine za ATM kama vile “card skimming” ambapo wahalifu mtandao mara kadhaa wamekua wakiripotiwa kughushi kadi za ATM zilizopelekea...

 

10 years ago

GPL

HUAWEI WANOGESHA BONANZA LA WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI MBEYA

Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lydia Wangari akizungumza na waandishi wa habari jana katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha TEKU mara baada ya kuzindua bonanza la wafanyakazi wa mabenki lililoandaliwa na Real Brand Solutions Ltd na kudhaminiwa na Huawei. Baadhi ya wafanyakazi wa mabenki mkoani Mbeya wakipata huduma katika vibanda vya Huawei.… ...

 

10 years ago

Ykileo

MAMILIONI YA DOLA YAIBIWA KATIKA MABENKI KUPITIA WIZI MTANDAO

Baada ya kikao kilichofanyika wiki iliyopita chuo kikuu cha Stafford ambapo Rais Obama wa marekani alikutana na wafanya biashara, Wanasheria na wasimamizi washeria kujadili hali ya mtikisiko wa maswala ya usalama mitandao, Inadhihirisha wazi bado kuna safari ndefu kukabiliana na wimbi hili la uhalifu mtandao duniani kote.


Hii ni kutokana na ukweli kwamba Tishio la uhalifu mtandao na utayari wa kukabiliana nao bado kuna kutowiana ipasavyo ingawa jitihada bado ni kubwa kuweza kukabiliana na...

 

10 years ago

Vijimambo

CRDB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA NBAA UPANDE WA MABENKI

 Naibu waziri wa fedha Adam Malima akimkabidhi meneja wa fedha wa benki ya CRDB Sosteness Biseko  tuzo  ya NBAA ya ushindi  katika  uandaaji wa taarifa bora za fedha mwaka 2013-2014,jumla ya benki tisa zilishiriki ambapo Benki ya CRDB iliibuka mshindi wa kwanza katika kundi la mabenki, hafla hiyo ilifanyika juzi katika hotel ya Mount Meru jijini Arusha
*********
Mashirika binafsi ,taasisi na idara mbalimbali za serikali zimehimizwa   kushiriki katika mashindano ya tuzo zinazotolewa na bodi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba la Taifa lafanya mkutano na wadau wa mabenki Dar

unnamed

Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba. Mkutano huo umefanyika jana New Africa Hotel. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa).

unnamed (8)

Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu...

 

5 years ago

Michuzi

BOT YATOA KANUNI MPYA ZA KUWALINDA WAKOPAJI KATIKA MABENKI

BENKI kuu ya Tanzania (BOT) imeanzisha  kanuni mpya (Bank of Tanzania Financial consumer Regulations) za kumsaidia mteja pindi apatapo mkopo kutoka benki mbalimbali ili kuweza kulinda haki ya hati aliyotumia kuomba mkopo huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha katika semina inayotolewa na Benki kuu ya Tanzania kwa Waandishi wa Habari za  Uchumi na Fedha,Meneja Msaidizi Dawati la Kutatua Migogoro Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Ganga Mlipano amesema kuwa kanuni hizo zimetolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani