Mabenki Yakumbushwa Kuijali Jamii
![](http://2.bp.blogspot.com/-w3Gik7xzmzM/UxtYgIrPOQI/AAAAAAAFSDM/qssedL3KaUw/s72-c/unnamed+(2).jpg)
Na Pascal Mayalla Umetolewa wito kwa Mabenki kote nchini, zaidi ya kuzihudumia jamii kwa huduma za kifedha, pia ziikumbuke jamii inayowazunguka kwa kutoa huduma nyingine za kijamii, kama kusaidia mashule, mahospitali na jamii mbali hitaji, zinazohudumiwa na benki hizo. Wito huo, umetolewa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba, Bw. John Almasi, wakati wa maandimisho ya siku ya wanawake Duniani, ambapo menejimenti na wafanyakazi wa Benki ya CRDB Lumumba, walifanya huduma za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
10 years ago
MichuziCBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII Inbox x
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Hatimaye mabenki yafunguliwa Ugiriki
11 years ago
Habarileo20 Jan
BoT yatakiwa kupunguza riba kwa mabenki
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi ameomba menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuangalia uwezekano wa kupunguza riba kwa benki za kawaida, zinazotoa mikopo kwa wajasiriamali na wananchi wa kawaida.
11 years ago
Habarileo15 May
Polisi wambaini kinara wa wizi wa mabenki Dar
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kubaini mtuhumiwa kinara wa wizi wa mabenki, Ronald Mollel (37), ambaye ni mume wa Meneja wa Benki ya Barclays tawi la Kinondoni, Alune Kasililika, anayeshikiliwa na jeshi hilo.
10 years ago
GPLHUAWEI WANOGESHA BONANZA LA WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI MBEYA
5 years ago
Ykileo![](https://1.bp.blogspot.com/-l-cJ7O7LxNw/WnP_HYJj43I/AAAAAAAACKg/egjLg6wvg4c1HQ_CvIx-xl0ewyP86IWmgCLcBGAs/s72-c/TUMIA.jpg)
ANGALIZO KWA MABENKI DHIDI YA UHALIFU WA ATM JACKPOTING
![](https://1.bp.blogspot.com/-l-cJ7O7LxNw/WnP_HYJj43I/AAAAAAAACKg/egjLg6wvg4c1HQ_CvIx-xl0ewyP86IWmgCLcBGAs/s640/TUMIA.jpg)
KWA UFUPI: ATM jackpotting imgonga Hodi Nchini Marekani ambapo imesababisha upotevu mkubwa wa fedha zinazo kadiriwa kuzidi kiasi cha Dola milioni moja hadi sasa.----------Kumekua na aina nyingi za uhalifu mtandao unaolenga mashine za ATM ambao umekua ukiathiri mabenki mengi maeneo mengi duniani.
Mataifa ya Afrika yamesha kumbwa na changamoto za uhalifu katika mashine za ATM kama vile “card skimming” ambapo wahalifu mtandao mara kadhaa wamekua wakiripotiwa kughushi kadi za ATM zilizopelekea...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ts0idBQ-fSw/XmESrWAIphI/AAAAAAALhW4/5pthtd8zTz46XhRtQxUahCsZMPAISckMACLcBGAsYHQ/s72-c/G1.jpg)
BOT YATOA KANUNI MPYA ZA KUWALINDA WAKOPAJI KATIKA MABENKI
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha katika semina inayotolewa na Benki kuu ya Tanzania kwa Waandishi wa Habari za Uchumi na Fedha,Meneja Msaidizi Dawati la Kutatua Migogoro Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Ganga Mlipano amesema kuwa kanuni hizo zimetolewa...
10 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-I1cf5hw6HFs/VOR0A0M0fNI/AAAAAAAABRw/gTcPxKp2gLw/s72-c/ATM-Theft.jpg)
MAMILIONI YA DOLA YAIBIWA KATIKA MABENKI KUPITIA WIZI MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-I1cf5hw6HFs/VOR0A0M0fNI/AAAAAAAABRw/gTcPxKp2gLw/s1600/ATM-Theft.jpg)
Hii ni kutokana na ukweli kwamba Tishio la uhalifu mtandao na utayari wa kukabiliana nao bado kuna kutowiana ipasavyo ingawa jitihada bado ni kubwa kuweza kukabiliana na...