Hatma ya Escrow leo
RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kukata mzizi wa fitina kwa kutoa maamuzi juu ya mapendekezo nane yaliyowasilishwa kwake na Bunge, kutokana na sakata lililozua mtafaruku bungeni la akaunti ya Tegeta Escrow.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Hatma ya majaji escrow kuchukua muda mrefu
10 years ago
StarTV13 Oct
Hatma Kesi ya Pistorious ni leo.
Leo Jaji Tokozile Masipa ataanza kusoma maelezo ya mwisho ya kesi ya Oscar Pestorius yatakayachukua siku nne.
Akipitia maelezo ya upande wa mashitaka na upande wa utetezi katika kesi hii ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini.
Aliepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia .
Mengi yamesemwa na raia wa A-Kusini katika kesi hii kwamba Jaji hakuonesha uadilifu kumpata Oscar Pestorius na hatia ya kuua bila kukusudia badala ya kuua kwa makusudi.
BBC
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEXJ2AszLGF*W4T00MELXOYP8jKsAMxgtQw*2X4Ht1ecX-7hzPda6*smccgafozLtshnDit9jVXY87ATDtrM8GZk/151429671__583769c.jpg?width=650)
PISTORIUS KUJUA HATMA YAKE LEO
9 years ago
Habarileo23 Oct
Hatma ya kesi ya meta 200 kutolewa leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo itatoa uamuzi kuhusu shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Amy Kibatala likihoji uhalali wa wapigakura kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kupigia kura.
9 years ago
Bongo516 Dec
Roman Abramovich kuamua hatma ya Jose Mourinho Chelsea leo
Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich atalazimika kumlipa Jose Mourinho zaidi ya pauni milioni 40 kama atamfukuza kazi ya kuwa kocha wa Chelsea kwenye kikao cha dharura siku ya Jumatano.
Abramovich alikuwa na mazungumzo na timu ya makocha – Bruce Buck, Marina Granovskaia, Eugene Tenenbum na Michael Emenalo – kuhusu mustakabali wa Mourinho.
Wakati Mreno huyo aliporejea klabuni hapo mwaka 2013, bodi ilimpigia kura 3-2 kumpendekeza yeye. Leo litakuwa suala jingine.
Mourinho anayelipwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8fil5gmLgTY*whhgWrbWm09lsnOmtK4kXOlarHrh4*39GMmXak9aqd5sUqEfMk3YXeCwbht5WgoEyR5X3RzwmqsN1GxOILRj/2.jpg?width=650)
RIPOTI YA ESCROW, LEO NDIYO LEO
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Sakata ya Escrow leo jioni
10 years ago
CloudsFM22 Dec
JK KUTENGUA KITENDAWILI CHA ESCROW LEO?
Maswali hayo yanatokana na maazimio ya Bunge ambayo yalionekana kuvuta hisia za wananchi katika kona mbalimbali za nchi ambako walikuwa wanafuatilia moja kwa moja mjadala wa Bunge hadi kupitishwa maazimio hayo.
Hotuba hiyo...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.