Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATUKUITISHA MKUTANO KUMNYOSHEA MTU KIDOLE - UINGEREZA

Na Mwandishi Maalum 
 Uingereza imeeleza kuwa , mkutano wa kimataifa uliofanyika mwezi uliopitia jijini London, Uingereza na kujadili namna ya kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori duniani, haukulenga kumnyoshea kidole mtu yeyote.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa, Balozi Peter Wilson wakati wa mkutano wa kundi la nchi marafiki kuhusu ujangili na biashara haramu ya wanyamapori.
Mkutano huo ulifanyika siku ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yamtambua mtu wa IS.

Vyanzo vya kiintelijensia nchini Uingereza vimeiambia BBC kwamba wamemtambua mtu anaye nadi propaganda za is.

 

10 years ago

BBCSwahili

Awekwa moyo wa mtu aliyekufa Uingereza

Madaktari wamefanya upandikizaji wa kwanza wa moyo kwa kutumia moyo mwengine uliosimama kufanya kazi Ulaya.

 

9 years ago

MillardAyo

Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza..

December 25 huwa ni siku ambayo wakristo wengi duniani wanaungana kwa pamoja kusherehekea sikukuu ya Christmas, japo sikukuu inawahusu wakristo lakini huwa ni siku ya mapumziko kwa ujumla kwa watu wote bila kujali dini zao. Sasa nimekutana na hii stori kutoka Uingereza, labda nikufahamishe tu kwamba kama ikitokea December 25 2015 utakuwa na jukumu au […]

The post Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

UPDATES: MKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014

Kufuatia hatua ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kuunda kamati ya muda (Tanzania UK Diaspora Task Force) itakayosimamia maandalizi ya Mkutano wa Diaspora mwaka huu 2014, tunapenda kuwasilisha majina ya wajumbe wa kamati hiyo kwa Watanzania waishio Uingereza.
Kamati hiyo itakuwa chini ya Uenyekiti wa Bi Mariam Kilumanga akisaidiwa na Bw. Cleopa John katika nafasi ya Katibu. Aidha Bi Maxine Brown atashughulikia mawasiliano kati ya kamati na watanzania waishio nchini...

 

10 years ago

Michuzi

Dk. Shein aufungua Mkutano wa Madaktari kutoka Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza mkutano huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja jana Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014

 Siku ya Jumamosi tarehe 22 Februari 2014 kilifanyika kikao baina ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe pamoja na wawakilishi wa Watanzania kutoka vitongoji vya London na maeneo mengine nchini Uingereza.Kikao hicho kilijadili haja ya kuandaa Mkutano wa Diaspora nchini Uingereza mwaka huu 2014.  Katika majadiliano ilisisitizwa umuhimu wa kuwa na mikutano ya Diaspora hasa kwa malengo makuu yafuatayo:  • Kuwaleta karibu watanzania waishio maeneo mbalimbali nchini...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA KUFANYIKA AGOSTI 30, 2014.

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA LINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014 UTAKAOFANYIKA KATIKA JIJI LA READING KATIKA ANUANI IFUATAYO;THE PAVILION (FORMERLY RILEYS CLUB)143 – 145 OXFORD ROAD READINGRG1 7UP
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI INAYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA MWAKA 2014

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA KINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014.
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI MPYA WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI ILIYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU MAINA OWINO ANAYENG’ATUKA KATIKA NAFASI HIYO.
WANACHAMA WOTE WENYE SIFA MNAKARIBISHWA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO YA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani