Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATUTOKIBEBA WALA KUKIVUMILIA CHAMA CHOHCOTE CHA SIASA- POLISI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi, Charles MkumboKamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi, Charles Mkumbo.
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limesema halipo tayari kukipendelea chama chochote kile cha siasa katika kipindi hiki cha uchaguzi utakaofanya Oktoba 25 mwaka huu.Kauli hiyo imetolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi, Charles Mkumbo, wakati akizungumza na wanahabari.
Mkumbo amesema kuwa katika kipindi hiki, jeshi halitakuwa tayari kukipendelea chama cha siasa kwani lipo kwa ajili ya kutenda haki na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Chama kingine cha siasa chasajiliwa

CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), jana kilikabidhiwa cheti cha usajili wa kudumu na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuandikwa na kufutwa uanachama chama cha siasa

HATUA ya kufutiwa uanachama huwa haieleweki vizuri kwa watu wengi. Kuna mambo mengi ya kufanya pale unapofutiwa uanachama. Unaweza kukaa kimya. Ukakubali kuondoka katika chama na hata ukaanzisha chama chako...

 

9 years ago

GPL

CHAMA KIPYA CHA SIASA CHAZINDULIWA DAR

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi (kushoto) akimkabidhi cheti cha usajili wa mmoja wa waanzilishi wa chama hicho, Deonatus F. Mutani kwenye Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa jijini Dar. Waanzilishi wa chama kipya cha…

 

9 years ago

Bongo5

Lulu atoa sababu kwanini hafungamani na chama cha siasa

Lulu ameitaja sababu iliyomfanya asifungamane na nde wowote wa chama cha siasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi. Kupitia akaunti yake ya Instagram Lulu ameandika: Nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Siasa za Kenya: Fukuto ndani ya chama cha Jubilee, nani anayelengwa?

Duru zinaeleza kuwa kuna mazungumzo yanayoendelea kati ya chama cha Jubilee na vyama vya upizani kuunda muungano, kunani?

 

9 years ago

Mtanzania

NURU THE LIGHT: Hakuna tatizo msanii kushabikia chama cha siasa

Nuru the LighttNA JULIET MORI, (Tudarco)
MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’, amesema haoni ubaya kwa wasanii kuweka wazi ushabiki wao kwenye vyama vya siasa kwa kuwa kila mtu ana chama anachokipenda.
Nuru aliweka wazi hilo jana baada ya kutumbuiza na wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd ikiwa ni ishara ya kukubali mchango wa kazi zinazofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo kupitia magazeti yake matano ya Mtanzania, Bingwa,...

 

9 years ago

GPL

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TAMKO KUHUSU CHAMA CHA TPP

Msajili msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza, akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio hilo. Wanahabari wakimsikiliza kwa makini, msaidizi upande wa usajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza. ... Nyahoza akitoa ufafanuzi wa jambo, kulia kwake ni, Mkurugenzi Utawala na Raslimali Watu, Emmanuel Kayuni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. (PICHA NA DENIS...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA KIPYA CHA SIASA CKUT CHAPATA USAJILI JIJINI DAR LEO.

 Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho,Noel  Antapa.  Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani