Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatuwezi kushinda hivihivi

DSC_3936NA WAANDISHI WETU

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampeni za urais Zanzibar huku mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, akisema hawawezi kushinda bila kujipanga vyema.

Rais Kikwete alitoa kauli hiyo katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibandamaiti mjini Unguja jana.

“Hatuwezi kushinda hivi hivi, ni lazima tujipange vizuri, uchaguzi wa mwaka huu ni man to man (mtu na mtu)

“Lazima umjue mtu wako vizuri, umkabe ipasavyo, uombe kura na uipate. Uchaguzi huu pia ni kiambo kwa kiambo, nyumba kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA HILI LA MTOTO, DUDE UNACHAFUKA HIVIHIVI UNAJIONA!

KULWA Kikumba (Dude) ni mmoja wa vijana wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu Bongo. Alipata umaarufu mkubwa wakati ule akiwa stelingi wa mchezo uliojipatia mashabiki wengi wa Bongo Dar es Salaam. Umbo lake na utoto wake wa mjini, ulimfanya kuonekana kama ni tapeli wa kweli katika maisha ya kila siku ya kuhangaika jijini Dar es Salaam.Aliwafanya baadhi ya watu kuwa waathirika wa mchezo huo wa kwenye televisheni, kwani kila...

 

9 years ago

GPL

MIAKA 10 YA MATESO KITANDANI, KIJANA ASEMA: NAKIONA KIFO HIVIHIVI

Mustapha Haruna akiwa amevimba tumbo na kulazwa hospitali ya rufaa Bugando, Mwanza. Gabriel Ng’osha na Haruni Sanchawa Eeh! Mungu tenda miujiza! Ni maneno ambayo unaweza kuyasema ukimuona Mustapha Haruna (32), mkazi wa Ndala mkoani Shinyanga anayesumbuliwa na tumbo kujaa maji baada ya moyo wake kupanuka. CHANZO CHA UGONJWA Akizungumza na Uwazi, kwa njia ya simu kutoka mkoani Shinyanga mama mzazi wa Mustapha,  Hidaya Mrisho...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenyatta: 'Hatuwezi kulipa walimu'

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo haina uwezo wa kulipa nyongeza ya mishahara wanayodai waalimu

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hatuwezi kuwasaidia Pugu Kinyamwezi’

OFISA Uhusiano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Gaston Makwembe amesema hawana namna ya kuwasaidia wakazi wa karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tanzania hatuwezi kuitenga China’

Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Benard Membe amesema Tanzania haina sababu ya kuitenga wala kuichukia China licha ya mataifa ya Magharibi kuonyesha wivu dhidi ya uhusiano uliopo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Hatuwezi kulazimisha Nkurunziza kutogombea’

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe.SERIKALI imesema haitamlazimisha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kuacha kugombea urais wa nchi hiyo kwa muhula wa tatu kama ambavyo wananchi wa Burundi wanavyoandamana kupinga jambo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ramli-JK

Sehemu ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyoko Tengeru, ArushaRAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa kamwe Tanzania, kama ilivyo nchi nyingine yoyote duniani, haiwezi kuendelea kwa kutegemea mazingaombwe ama ramli bila kuwekeza kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenyatta: Hatuwezi kuongezea walimu pesa

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesisitiza serikali yake haina uwezo wa kulipa nyongeza ya mishahara wanayodai walimu wanaogoma.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege ya Pakistan: 'Hatuwezi kusahau'

Katika ajali ya ndege ya Pakistan, mtu mmoja alipoteza familia yake yote ya watu watano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani