Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hatuwezi kuwasaidia Pugu Kinyamwezi’

OFISA Uhusiano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Gaston Makwembe amesema hawana namna ya kuwasaidia wakazi wa karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TIMUATIMUA YATUA MNADA WA PUGU, MWIGULU ASHIRIKIANA NA MAWAZIRI WAWILI KUTATUA KERO MACHINJIO YA PUGU

Picha na Maelezo na Festo Sanga Ile kauli ya HAPA KAZI TU imeendelea kutumika vizuri kwa mawaziri wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia tukio la mawaziri watatu kufika eneo la Machinjio ya Vingunguti kwa ajili ya kutatua kero zinazowakabili wananchi wanaotumia eneo hilo kwa shughuli za kuchinja mifugo. Awali,Mhe Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushitukiza usiku wa tar 01/01/2016 katika machinjio hayo na kukutana na madudu ya kutafunwa kwa fedha za ushuru unaokusanywa kwenye mifugo,...

 

10 years ago

Michuzi

Msiba pugu kajiungeni

Familia ya Mr Robert Makilagi ya Pugu Kajiungeni inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Robert John Ndege Makilagi kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 11/3/2015 katika hospital ya Hindu Mandal, Dar es salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote popote pale walipo.
Marehemu Mzee Makilagi ataagwa nyumbani kweke pugu kajiungenikesho Jumamosi  asubuhi tarehe 14/3/2015 ikifuatiwa na ibada itakayoanza saa 8 mchana katika kanisa katoliki la Pugu lililopo Pugu Sekondari.
Baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi Pugu watakiwa kuhama

WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waeleza kero ya dampo

WAKAZI wa eneo la Pugu Kinyamwezi, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam wameeleza kero na madhara wanayoyapata kutokana na dampo lililopo eneo hilo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waanza kupata taarifa za maendeleo

WAKAZI wa Kata ya Pugu, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, hivi sasa wanapata taarifa za mapato na matumizi ya fedha za maendeleo kupitia mbao za matangazo kwenye ofisi za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waomba ‘Mbwa Mwitu’ washughulikiwe

WAKAZI wa Pugu Mnadani wilayani Ilala, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam wameliomba Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi kutokana na tishio la kundi la vijana wanyang’anyi liitwalo ‘Mbwa...

 

10 years ago

Michuzi

kiwanja kinauzwa pugu, dar es salaam

 Ukubwa: mita 20 kwa 36 ( 20m X 36m )Eneo: Bangulo CCM, Pugu Dar es SalaamBei: Milioni 9 na laki 5  ( 9.5m/- ) Tshs/Mawasiliano: +255 657 582 510 

 

10 years ago

Mtanzania

Hatuwezi kushinda hivihivi

DSC_3936NA WAANDISHI WETU

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampeni za urais Zanzibar huku mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, akisema hawawezi kushinda bila kujipanga vyema.

Rais Kikwete alitoa kauli hiyo katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibandamaiti mjini Unguja jana.

“Hatuwezi kushinda hivi hivi, ni lazima tujipange vizuri, uchaguzi wa mwaka huu ni man to man (mtu na mtu)

“Lazima umjue mtu wako vizuri, umkabe ipasavyo, uombe kura na uipate. Uchaguzi huu pia ni kiambo kwa kiambo, nyumba kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Jiji Dar es Salaam lahaha na dampo Pugu

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam inahitaji zaidi ya Sh bilioni 15/- kuboresha dampo la Pugu Kinyamwezi katika Manispaa ya Ilala na kulifanya kuwa la kisasa, huku ikisisitiza waliovamia eneo hilo, lazima waondoke.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani