Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msiba pugu kajiungeni

Familia ya Mr Robert Makilagi ya Pugu Kajiungeni inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Robert John Ndege Makilagi kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 11/3/2015 katika hospital ya Hindu Mandal, Dar es salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote popote pale walipo.
Marehemu Mzee Makilagi ataagwa nyumbani kweke pugu kajiungenikesho Jumamosi  asubuhi tarehe 14/3/2015 ikifuatiwa na ibada itakayoanza saa 8 mchana katika kanisa katoliki la Pugu lililopo Pugu Sekondari.
Baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APANDA DALADALA KUTOKA GONGO LA MBOTO MPAKA PUGU KAJIUNGENI JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza eneo hilo ili kujionea hali halishi ya biashara ndogo ndogo. Mh. Lowassa aliianza ziara yake eneo hilo la Gongo la Mboto na baadae alipanda daladala mpaka Pugu Kajiungeni,...

 

9 years ago

Michuzi

TIMUATIMUA YATUA MNADA WA PUGU, MWIGULU ASHIRIKIANA NA MAWAZIRI WAWILI KUTATUA KERO MACHINJIO YA PUGU

Picha na Maelezo na Festo Sanga Ile kauli ya HAPA KAZI TU imeendelea kutumika vizuri kwa mawaziri wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia tukio la mawaziri watatu kufika eneo la Machinjio ya Vingunguti kwa ajili ya kutatua kero zinazowakabili wananchi wanaotumia eneo hilo kwa shughuli za kuchinja mifugo. Awali,Mhe Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushitukiza usiku wa tar 01/01/2016 katika machinjio hayo na kukutana na madudu ya kutafunwa kwa fedha za ushuru unaokusanywa kwenye mifugo,...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waeleza kero ya dampo

WAKAZI wa eneo la Pugu Kinyamwezi, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam wameeleza kero na madhara wanayoyapata kutokana na dampo lililopo eneo hilo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hatuwezi kuwasaidia Pugu Kinyamwezi’

OFISA Uhusiano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Gaston Makwembe amesema hawana namna ya kuwasaidia wakazi wa karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano...

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi Pugu watakiwa kuhama

WIKI moja baada ya gazeti hili kuandika kuhusu hatari ya kupata magonjwa, ikiwemo kipindupindu inayowakabili wakazi wanaoishi karibu na dampo la Pugu Kinyamwezi na hatua ya kula kwenye chandarua walioianzisha kupunguza kero ya inzi, uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umezungumzia hali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waomba ‘Mbwa Mwitu’ washughulikiwe

WAKAZI wa Pugu Mnadani wilayani Ilala, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam wameliomba Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi kutokana na tishio la kundi la vijana wanyang’anyi liitwalo ‘Mbwa...

 

10 years ago

Michuzi

kiwanja kinauzwa pugu, dar es salaam

 Ukubwa: mita 20 kwa 36 ( 20m X 36m )Eneo: Bangulo CCM, Pugu Dar es SalaamBei: Milioni 9 na laki 5  ( 9.5m/- ) Tshs/Mawasiliano: +255 657 582 510 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waanza kupata taarifa za maendeleo

WAKAZI wa Kata ya Pugu, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, hivi sasa wanapata taarifa za mapato na matumizi ya fedha za maendeleo kupitia mbao za matangazo kwenye ofisi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani