HEMED ACHUKIA KUITWA TOZI
![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeB69c1QEnjyecp-85YeiWWDf4OdreSlOlD-VarJ*i23PppSdiVqvie4jEhOTJGiwFOxA7uucelp3OvBWxUIOyAm/HEMED.jpg?width=650)
Stori: Brighton Masalu MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa anachukizwa na tabia ya watu kumwita tozi au mtu wa maringo. Hemed Suleiman ‘PHD’. Hapa anafafanua: “Wananihukumu kwa macho, mimi siyo tozi ila usafi wangu na kutoonekana mara kwa mara kunanifanya nionekana hivyo lakini kiuhalisia siko hivyo.â€â€¦ ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Shamsa Achukia Kuitwa Mshamba
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.
“Mimi sijawahi kumsumbua mtu hela ya kula hata siku moja kisa tu eti sijichanganyi na wanawake wa mjini, mimi familia...
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA HEMED SALUM HEMED
5 years ago
Michuzi29 Apr
MAWAIDHA YA SWAUMU NA AL MARHUM MUFTI SHEIK HEMED BIN JUMAA BIN HEMED
issamichuzi · MAWAIDHA YA SHEIKH HEMED BIN JUMAA BIN HEMED
10 years ago
Bongo Movies16 May
PICHA: Wolper, Mr Blue na Nyandu Tozi, Kunani?!!
Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies, Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.
Wolper hakuweza kuweka wazi kama ni Movies au Music Video....
Yote kwa yote picha hizi zimewavutia wengi mtandaoni na kupata mafuliko ya LIKES na COMMENTS za kutosha.
Jionee picha hizo hapo juu.
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Tozi wa Mbagala: Msanii anayewamezea mate Chamilion, Fally Pupa
“UNAJUA wakati nilivyokuwa nachekesha jukwaani nikishuka mashabiki hunilazimisha nipande tena, sasa nikajikuta ninawakosesha raha mashabiki wangu, ndipo nilipoamua nianze kuimba, na si kama sina kipaji la hasha! Huwa naimba katika...
10 years ago
Bongo528 Feb
New Video: Hemed PHD — Far Away
11 years ago
GPLHEMED, MLELA BIFU PALEPALE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMnXdX-uxwKIq8HlWIM0WGzYoU47DimG1jHUM4WrolfKBqF1M6WW0jkbdQuHcSs6aa6fW3i*03pCW26XyS--2Wcw/hemedi1.jpg?width=650)
HEMED: NIACHENI, NAOA SASA
11 years ago
GPLRAMBIRAMBI MSIBA WA DK HEMED MZIRAY