HEMED: NIACHENI, NAOA SASA
Stori: Imelda Mtema BRAZAMENI mwenye swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna. Hemed Suleiman ‘PHD’. Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka: “Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA HEMED SALUM HEMED
5 years ago
Michuzi29 Apr
MAWAIDHA YA SWAUMU NA AL MARHUM MUFTI SHEIK HEMED BIN JUMAA BIN HEMED
issamichuzi · MAWAIDHA YA SHEIKH HEMED BIN JUMAA BIN HEMED
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Maximo: Niacheni nitengeneze timu
11 years ago
GPLNISHA: NIACHENI NA MAMA YANGU
11 years ago
GPLAUNT: NIACHENI NIVAE NITAKAVYO
9 years ago
Bongo Movies20 Nov
Niacheni na Fito Zangu-Shilole
Staa mrembo wa Bongo Movies na bongo Fleva Shilole ambae kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa 'Nyang'anyang'a' amefunguka na kuwataka watu ambao wanamkejeli kuwa ana miguu mibaya wamuache na miguu yake hiyo.
Shilole jana alipost picha kwenye Instagram ambayo ilikuwa ikionyesha sehemu kubwa ya miguu yake na baadhi ya watu walianza kusema kuwa afunike miguu yake hiyo kwani ni mibaya wengine walionyesha kupenda picha ile huku wengine wakimpa sifa kuwa ni mrembo, lakini hizo comment...
10 years ago
GPLKAJALA: NIACHENI NA MAISHA YANGU
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Wema: Niacheni nipumzike na mimi ni binadamu