Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT: NIACHENI NIVAE NITAKAVYO

Stori: Imelda Mtema MKALI wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa aachwe avae jinsi anavyojisikia hata kama yeye ni mke wa mtu. Mkali  wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel pichani. Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka avae kistaarabu kwa kuwa ni mke wa mtu. “Waniache… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Kuanzia Leo Naishi Nitakavyo..

Ustaa kazi: Baada ya kuchoshwa na maneno ya watu kuhusu maisha yake binafsi, staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kuweka wazi msimamo wake kwa mashabiki zake wote.

“Siku zote nimekuwa muoga kuishi maisha yangu kwa kuogopa watu but hao watu naowaogopa hata siku moja hawajawahi kuogopa kuishi maisha yao kwa kuniogopa mm..from today nitaishi nitakavyo mimi na kufanya kile ambacho nahic kinafaida na kunifurahisha katika maisha yangu.Mashabiki wangu wa ukweli kabisaa alionipangia...

 

9 years ago

Bongo Movies

Niacheni na Fito Zangu-Shilole

Staa mrembo wa Bongo Movies na bongo Fleva Shilole ambae kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa 'Nyang'anyang'a' amefunguka na kuwataka watu ambao wanamkejeli kuwa ana miguu mibaya wamuache na miguu yake hiyo.

Shilole jana alipost picha kwenye Instagram ambayo ilikuwa ikionyesha sehemu kubwa ya miguu yake na baadhi ya watu walianza kusema kuwa afunike miguu yake hiyo kwani ni mibaya wengine walionyesha kupenda picha ile huku wengine wakimpa sifa kuwa ni mrembo, lakini hizo comment...

 

11 years ago

GPL

HEMED: NIACHENI, NAOA SASA

Stori: Imelda Mtema
BRAZAMENI mwenye swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna. Hemed Suleiman ‘PHD’. Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka:
“Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo: Niacheni nitengeneze timu

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amerejea kauli yake ya kuwataka mashabiki wa timu hiyo wawe na subira akisema kazi anayoifanya kwa sasa ni kusuka kikosi imara kitakachodumu kwa muda mrefu.

 

10 years ago

GPL

KAJALA: NIACHENI NA MAISHA YANGU

Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Imelda Mtema
KUFUATIA mashabiki kumlaumu kwa kitendo chake cha kuhudhuria shoo ya Zari All White Party, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja amefunguka kwa ukali kuwataka watu kumuacha na maisha yake kwa sababu hayawahusu. Akipiga stori na gazeti hili, Kajala  alisema  amekuwa mvumilivu kwa muda mrefu lakini kitendo cha watu kutaka kumpangia nini cha kufanya au wapi pa...

 

11 years ago

GPL

NISHA: NIACHENI NA MAMA YANGU

Stori: Emelder Tarimo Vunja ukimya! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amevunja ukimya kwa kusema kuwa kwa sasa hana shosti zaidi ya mama yake mzazi. Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akifurukuta mbele ya Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Nisha alifunguka kwamba mama yake ndiye kila kitu kwani muda mwingi humshauri mambo mazuri na ya kimaendeleo zaidi tofauti na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wema: Niacheni nipumzike na mimi ni binadamu

Mwigizaji Wema Sepetu amewataka watu wanomsakama kwa maneno waache apumzike kufanya hivyo kwani yeye ni binadamu kama ilivyo kwa wengine na anaumia kama wanavyoumia wengine.

 

11 years ago

GPL

LUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU

Na Mwandishi Wetu
MSANII wa filamu za Kibongo, Lucy Komba amefunguka aachwe adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu mwenye malengo naye. Msanii wa filamu za Kibongo, Lucy Komba akiwa na mchumba wake aliyetambulika kwa jina la Janus. Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya kuhojiwa juu ya picha zilizozagaa mitandaoni, Lucy alisema kuwa picha hizo alizipiga akiwa na mchumba wake huyo kwa hiari yake....

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ; SINA MUDA NA NYINYI,NIACHENI NIFANYE KAMPENI.


MGOMBEA urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amesema hana muda wa kujibu matusi na kejeli zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi yake.
Badala yake amesema anatumia muda uliobaki wa kampeni kutafuta kura kwa wananchi kwa kunadi ilani ya chama chake.Akizungumza kwenye mikutano ya hadhara, Bunju na baadaye Mbezi mkoani Dar es Salaam, Lowassa alisema kila alichoahidi ataanza kukifanyia kazi punde tu baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani