Shamsa Achukia Kuitwa Mshamba
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.
“Mimi sijawahi kumsumbua mtu hela ya kula hata siku moja kisa tu eti sijichanganyi na wanawake wa mjini, mimi familia...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeB69c1QEnjyecp-85YeiWWDf4OdreSlOlD-VarJ*i23PppSdiVqvie4jEhOTJGiwFOxA7uucelp3OvBWxUIOyAm/HEMED.jpg?width=650)
HEMED ACHUKIA KUITWA TOZI
10 years ago
GPL12 Mar
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
10 years ago
Michuzi27 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8VtnT8DnL2B50R8xgKDQe-qKD7n6lhEJnVyrp6jNhZ8ymJJsvjpFzUClIEL6wMyyZ5zDUoYnVTquWXvdrFyLhrN/Tiko.jpg?width=650)
TIKO AKATAA KUITWA GOGO
9 years ago
GPLMAFUFU AKUBALI KUITWA ZOBA
9 years ago
Habarileo29 Oct
Busungu ajipongeza kuitwa Stars
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu amesema juhudi zake ndizo zilizofanikisha kutimia kwa ndoto zake za siku nyingi za kuitwa kuichezea timu ya taifa, Taifa Stars.
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Lowassa: Nimechoka kuitwa fisadi