Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Nimechoka kuitwa fisadi

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana aliwataka wanaomhusisha na ufisadi kuacha mara moja kwa sababu hakuna hata chembe ya ukweli katika tuhuma hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBONA NI KAZI KIDOGO TU ILI MH LOWASSA ASIWE FISADI AU MWIZI,

1- Chadema wajitokeze mbele waseme wao ni wadanganyifu na Matapeli wa kisiasa.2- UKAWA wajitokeze na kusema ni kikundi cha walinda MAFISADI na sio wanao pambana na UFISADI.3- Chadema wajitokeze na kusema katika ile RIST OF SHAME ya watu 11 akiwemo na LOWASSA waliandika wakiwa WAMELEWA.4-UKAWA wajitokeze watwambie lini wameamua kuunga mkono serikali mbili za bwana LOWASSA.5- UKAWA wajitokeze watwambie wamejua ni kiasi gani cha Mapesa alichotumia LOWASSA wakati wa kusaka urais ndani ya CCM na...

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE WALIOMWITA LOWASSA FISADI SASA WAMKARIBISHA KWENYE CHAMA CHAO


By Florence Majani, Mwananchi
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.

Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya kutegemea mitandao ya kijamii.

“Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini… sasa hivi...

 

9 years ago

Global Publishers

Malaika: nimechoka kufananishwa na Lulu

6B3A3875

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery.

Na Imelda Mtema

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery amesema anakerwa na kitendo cha watu wengi kumfananisha na muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Akizungumza na gazeti hili, Malaika alisema huko nyuma alipokuwa akifananishwa na msanii huyo hakujali, lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda imekuwa ni shida hadi wengine wanamsimamisha.

“Unajua kufananishwa na mtu siyo tatizo, lakini kwa hali...

 

11 years ago

GPL

WOLPER: NIMECHOKA KUTUKANWA KILA KUKICHA

Stori: GLADNESS MALLYA MOYO unauma! Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila kukicha lakini pamoja na hayo yote hatingishiki kwa lolote. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe. Habari zilieleza kuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Wolper amekuwa...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIA NA KUSEMA: NIMECHOKA KUBAKWA NA BABA!

Stori: JOSEPH NGILISHO, Arusha
AMA kweli dunia sasa inaserereka! Katika hali ya kusikitisha, baba mzazi mwenye familia ya watoto watatu, mkazi wa Kambi ya Fisi jijini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kumzaa hadi mtoto akafungua kinywa na kusema: “Nimechoka kubakwa na baba.” Mtoto aliyebakwa na  baba yake mzazi. Tukio hilo lililobumburuka hivi karibuni limewaacha watu vinywa wazi...

 

10 years ago

Habarileo

Muasisi: Karume hakuwa fisadi

Hayati Abeid Amaan KarumeMUASISI wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya watu 14 walioshiriki mapinduzi hayo mwaka 1964, Hamid Ameir (85) ameeleza siri ya mafanikio ya uongozi wa Hayati Abeid Amaan Karume na kushauri viongozi walio madarakani kuiga mfano wake.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mzee Makamba asema mgombea Ukawa fisadi

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba, amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni fisadi, mwongo na hakerwi na umasikini wa Watanzania.

Amemtaka kujitokeza hadharani kukanusha kwamba yeye si fisadi na kwamba, alitaka kuondoka CCM mwaka 1995 na alimwandikia barua kueleza hayo.

Makamba alisema hayo jana, kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, alipohutubia mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea urais wa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Dk. Slaa: Siko tayari kumsindikiza fisadi Ikulu

YAFUATAYO ni mahojiano kuhusu masuala mbalimbali kati ya Mwandishi Wetu, DEUS BUGAYWA na aliyekuw

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani