Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hiddink awataka wachezaji kuwa makini.

Meneja mpya wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink, amekitaka Kikosi chake kuwa makini na kuzingatia uwepo wao katika Timu hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Professor J amsikitikia Cheka, awataka maceleb kuwa makini

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule aka Professor J, amesema yeye ni mmoja wa watu waliosikitishwa na hukumu ya miaka 3 jela aliyopata bondia Francis Cheka baada ya kupatikana na hatia za kumshambulia meneja wake. Professor ameiambia Bongo5 kuwa mastaa wanatakiwa kuwa makini kwenye jamii kwa kuwa mara nyingi wakikosa wanahukumiwa kama mfano ili […]

 

11 years ago

Mwananchi

awataka wasanii Bongo fleva kuwa makini na kuacha sifa ili kusonga mbele

Tanzania imejaaliwa kuwa na vipaji vya wanamuziki wengi wa miondoko ya kila aina na baadhi yao wakifanya kazi zaidi ya moja katika fani hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

WAKATI BUNGE LIKIELEKEA MWISHONI...SPIKA AWATAKA WABUNGE KUWA MAKINI KWANI MAKOMBORA NI MENGI

Said Mwishehe, Michuzi TV
WAKATI Bunge likielekea ukingoni na wabunge kurudi tena kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020, Spika wa Bunge Job Ndugai amewashauuri wabunge hao kuwa makini kwani makombora ni mengi kipindi hiki.
Akizungumza leo Bungeni Mjini Dodoma Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa hiki ni kipindi ambacho wanatakiwa kuwa makini wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu makombora jimboni yanakuwa mengi, hivyo wachukue tahadhari.
Ushauri huo wa Spika Ndugai kwa wabunge umekuja baada...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA VIONGOZI WENYE UCHU WA MADARAKA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia  sehemu ya wakazi wa Nungwi na Wafuasi wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Skuli,jimbo la Nungwi,wilaya ya Kaskazini A,mkoa wa Kaskazini Unguja.Kinana amewataka Wananchi hao kuwa makini na baadhi ya viongozi wenye tamaa ya madaraka kwa kuahidiwa mambo ambayo hayatekelezeki,pia amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ikifika ya kupiga kura ya ndiyo kwa katiba inayopendekezwa,kwani imejaa mambo mengi na...

 

9 years ago

Bongo5

Guus Hiddink ateuliwa kuwa kocha mpya Chelsea

151219081747_guus_hiddink_file_512x288_pa_nocredit

Aliyekuwa meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Chelsea hadi mwisho wa msimu.

151219081747_guus_hiddink_file_512x288_pa_nocredit

Ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Alhamisi.

“Nimefurahia kurejea Stamford Bridge. Chelsea ni moja ya klabu kubwa duniani lakini haimo pale inakofaa kuwa kwa sasa. Hata hivyo nina uhakika tunaweza kubadilisha mambo,” amesema Hiddink baada ya kuteuliwa. “Nasubiri kwa hamu kufanya kazi na wachezaji na wakufunzi wenzangu wapya katika klabu hii kubwa na kufufua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hatimaye Chelsea yamtangaza Guus Hiddink kuwa meneja mpya wa timu hiyo

Guus-Hiddink

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ikiwa zimepita siku tatu tangu uongozi wa klabu ya Chelsea kumtimua kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mreno Jose Mourinho hatimaye taarifa zimetoka ndani ya timu hiyo kuwa, Mholanzi Guus Hiddink (pichani) amekuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya Uingereza.

Katika taarifa iliyotolewa na ukurasa wa klabu hiyo wa Twitter umeeleza kuwa Hiddink atakuwa meneja wa Chelsea mpaka mwisho wa msimu huu wa 2015/2016.

Hiddink hii siyo mara yake ya kwanza kuifundisha timu hiyo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji wawe makini katika ujisajili

MFANYAKAZI mwenye ujuzi au taaluma fulani, hujiunga na kampuni, shirika au taasisi anayoamini atadhihirisha kipaji chake kwa kuleta mabadiliko na ufanisi zaidi. Zama hizi, wacheza kandanda mahiri hugombewa na timu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hiddink akitaka kikosi chake kuwa na hamu kushinda mchezo wa Man United, leo usiku

2452

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa muda wa Chelsea, Guus Hiddink (pichani) amesema anatamani kuiona timu yake ikiwa na hamu ya ushindi dhidi ya wapinzani wao Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wingereza unaotarajiwa kuchezwa leo jumatatu katika uwanja wa Old Trafford.

Mholanzi huyo ambaye amechukua nafasi ya Jose Mourinho amesema mchezo unaozikutanisha timu hizo huwa ni mkubwa lakini mchezo wa leo utakuwa mkubwa zaidi hivyo angependa kuona kikosi chake kikiingia katika mchezo...

 

11 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINEO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI

Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The  Open Society Initiative  For  Eastern African Tanzania  (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Ayoub Rioba. Kamishana wa zamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani