Hii ndio filamu ya Bongo iliyouza zaidi kwa mujibu wa Steps Entertainment
Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini, Steps Entertainment imesema licha filamu nyingi kushindwa kufanya vizuri sokoni katika kipindi hiki, filamu ya ‘Wake Up’ imeweza kufanya vizuri zaidi.
Akizungumza na Bongo5, afisa masoko wa Steps, Kambarage alisema filamu hiyo iliyochezwa na mastaa mbalimbali imeweza kuhimili changamoto mbalimbali zilizopo kutokana mastaa zaidi ya 13 kuigiza katika ya filamu hiyo.
“Hali sio nzuri ukifikia kuuza nakala 10,000 lazima ushangilie na ni filamu ya Wake Up...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Jan
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu yakutana na Viongozi wa Kampuni ya Steps kujadili Maendeleo ya Tansia ya Filamu Nchini.
10 years ago
Bongo527 Oct
Hizi ndizo timu duniani (michezo yote) zenye thamani zaidi kwa mujibu wa Forbes
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya zilizonibamba zaidi leo
Mitaa ya Nairobi ina kitu kizuri ambacho kama ni mgeni unaweza kujikuta unaishia tu kuziangalia matatu zinavyokatisha ukasahau mpaka ulikuwa unaenda wapi !! Kama wewe ni mpenzi wa graffiti mtu wangu Nairobi ndio mahali pa kwako sasa !! Matatu zimegongwa michoro ya kila aina, mdundo wa muziki wake humo ndani sasa ndio balaa yani. Nimezipata […]
The post Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya zilizonibamba zaidi leo appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya iliyonibamba zaidi leo.. (+Pichaz)
Mitaa ya Nairobi ina kitu kizuri ambacho kama ni mgeni unaweza kujikuta unaishia tu kuziangalia matatu zinavyokatisha ukasahau mpaka ulikuwa unaenda wapi !! Kama wewe ni mpenzi wa graffiti mtu wangu Nairobi ndio mahali pa kwako sasa !! Ukiwa TZ tunaziita ‘Daladala‘, lakini Kenya wenyewe wanaziita ‘Matatu‘.. gari hizo zimegongwa michoro ya kila aina, mdundo […]
The post Hii ndio michoro kwenye Matatu 9 za Wakenya iliyonibamba zaidi leo.. (+Pichaz) appeared first on...
11 years ago
Bongo Movies15 Sep
Hii ndio filamu ya Kibongo itakaayoneshwa kwenye jumba la cinema la Mlimani City kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu.
Kwa mara nyingine tena wapenzi wa bongo movies tunatapa fursa ya kwenda kuangalia moja ya kazi za kipekee na ubunifu zaidi kwenye Tasnia ya filamu nchini. Kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam, basi tukutane pale kwenye jumba la cinema la mlimani city kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu kutazama filamu mpya na ya Kipekee Samaki mchangani. iliyotengenezwa na kampuni ya Kijiweni production chini ya usimamizi wa mtayarishaji Wlison Rumisha.
"Filamu hii inaanza na siku ya faraja kwa ajili ya...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kama mchezo wa soka ndio mchezo unaoongoza kwa kupendwa duniani. Katika soka kuna list ya wachezaji ambao wanapendwa na mashabiki kutokana na vitu ambavyo wanafanya uwanjani. Imenifikia TOP 5 ya mastaa wa soka wanaoongoza kwa kupendwa duniani. Lionel Messi ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ndio anatufungulia list […]
The post Hadi kufikia mwaka 2013, hii ndio ilikuwa list ya mastaa wa soka wanaopendwa zaidi duniani … appeared first on...
10 years ago
Bongo518 Dec
2014 Forest Hills Drive ya J.Cole yawa album ya hip hop iliyouza zaidi kwenye wiki ya kwanza mwaka huu