Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hila, uonevu hautatuondoa Makaani Gama’

WAKAZI wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya Magomeni, wilayani Bagamoyo, wamesema hawataondoka katika kijiji chao kumpisha mwekezaji wa kampuni ya Eco-Energy kwa sababu mbinu zinazotumika ni za hila na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Bravo’ JK kukemea uonevu wa polisi

Jana gazeti hili lilikuwa na habari iliyosema ‘JK akerwa polisi kubughudhi wananchi’. Habari hiyo ilikuwa ikielezea namna Rais Jakaya Kikwete alivyokerwa waziwazi na kitendo cha polisi kuwazonga na kuwasukuma wananchi waliokusanyika eneo la Jangwani, Dar es Salaam kumsikiliza.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Gilba, hila ziepukwe Escrow

MOJA kati ya habari zilizopo kwenye ukarasa wa mbele wa gazeti hili ni harakati za serikali baadhi ya wabunge kuzima kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 300, zilizohifadhiwa...

 

10 years ago

GPL

HIVI KUNA HILA GANI KWENYE HILI LA KATIBA MPYA?

Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samweli Sita akisalimiana na rais Jakaya Mrisho Kikwete.
MWAKA huu unaingia katika historia ya nchi yetu moja kwa moja pasipo maswali. Tofauti na wakati mwingine, mwaka huu una uwezekano wa kupitisha matukio makubwa mawili, ambayo kwa namna yoyote, yanaweza kuharibu au kuimarisha taifa letu lenye umri wa miaka 50 tangu lipate uhuru wake. Tukio moja tumelizoea...

 

10 years ago

Mtanzania

RC Gama alipuliwa bungeni

mkuuNA ARODIA PETER, Dodoma
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amehusishwa na tuhuma za kutaka kumiliki ardhi kwa njia za kifisadi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo Wilaya ya Rombo mkoani humo.
Kutokana na hali hiyo, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuzuia mchakato wowote haramu utakaofanywa na Gama kuhusu ardhi.
RC Gama, alitajwa bungeni na Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee...

 

10 years ago

TheCitizen

Gama still in hot water

Dodoma. Two opposition legislators are up in arms demanding the President to sack Kilimanjaro regional commissioner Leonidas Gama over allegations of being linked with a land grabbing scandal in the region.

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge wazidi kumwandama RC Gama

Leonidas+Gama(1)NA ARODIA PETER, Dodoma

WABUNGE wa upinzani wa Mkoa wa Kilimanjaro wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuchunguza mchakato wa uwekezaji wa ardhi katika Halmashauri ya Rombo unaomhusisha Mkuu wa Mkoa huo, Leonidas Gama.
Wabunge hao wanamtuhumu Gama kuwa ametumia vibaya madaraka yake kwa kujiingiza kwenye biashara chafu ya kupora ardhi ya wananchi na kuwapa wawekezaji wageni wakati huo huo yeye pamoja na mtoto...

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge Gama atema cheche

MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, ametoa wiki mbili kwa Mhandisi wa Maji wa manispaa hiyo, Samwel Sanya, kuhakikisha wakazi wa kata ya Luhuwiko wanapata huduma ya maji safi na salama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Abdallah Gama arejea Sikinde

BENDI Kongwe ya muziki wa dansi nchini Mlimani Park Orchestral ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’ imemrejesha kundini mpiga gitaa zito la besi, mwanamuziki wake wa zamani Abdallah Gama. Mwanamuziki huyo alitambulishwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waongoza watalii wamlilia RC Gama

 Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro na Meru (Kili-Meru) kimemuomba mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kuwatafutia maeneo ya kilimo katika mikoa mingine ili waweze kujikita zaidi kwenye kilimo badala ya kutegemea kazi ya kuongoza watalii pekee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani