Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hispania watoa bil 3.1/- kusaidia miradi

SERIKALI ya Hispania imetoa Sh bilioni 3.1 kusaidia miradi ya maendeleo ya jamii nchini ambayo mingine inatekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii,TASAF.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sweden yatoa bil. 42/- kusaidia miradi UN

DSC_0216

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya kutiliana saini makubaliano kati ya nchi ya yake na Umoja wa Mataifa ambapo wametoa  fedha  kusaidia miradi ya Umoja wa Mataifa kwenye ofisi za ubalozi wa Sweden jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.(Picha na Zainul Mzige MOblog).

Na  Mwandishi...

 

9 years ago

StarTV

Sh. Bil. 1 kusaidia masuala ya UKIMWI Geita

 

Makusanyo ya zaidi ya shilingi bilioni moja yaliyopatikana katika kupanda Mlima Kilimanjaro yatasaidia taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na masuala ya UKIMWI ndani na nje ya Mkoa wa Geita.

Takribani miaka  13 sasa tangu Mgodi wa Dhahabu wa Geita uanze kampeni hii yenye lengo la kusaidiana na Serikali kupunguza maambukizi mapya ya UKIMWI ambayo yamekuwa yakiathiri nguvu kazi ya Taifa hasa vijana ongezeko kubwa likionekana kwenye maeneo ya machimbo.

Upandaji wa mlima Kilimanjaro umekuwa...

 

9 years ago

Habarileo

TEA watumia bil 2/- kusaidia shule za walemavu

MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imetumia zaidi ya sh bilioni 1.83 kwa ajili ya kusaidia shule na vyuo vyenye watu wenye ulemavu katika kipindi cha miaka mitatu.

 

10 years ago

Habarileo

Miradi ya UN nchini yasaidiwa bil. 42/-

SWEDEN imeyapatia mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyopo hapa nchini jumla ya Sh bilioni 42 kusaidia miradi yake ya maendeleo inayofanya Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bil.1.3/- kutekeleza miradi Iringa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa itatumia sh bilioni 1.3 katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maji. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji kazi wa Kamati ya Mipango na Mazingira kwa kipindi cha robo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenge wazindua miradi ya bil. 5.6/-

MIRADI nane yenye thamani ya sh. bilioni 5.6 imetembelewa na kuzinduliwa na mbio za mwenge katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam huku kiongozi wa mbio hizo...

 

5 years ago

CCM Blog

MAREKANI KUIPATIA TANZANIA BIL. 5.6 KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA


Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 2.4 (Takriban Shilingi za Kitanzania bilioni 5.6), ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya nchini Tanzania ambapo msaada huu unalenga kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, kusaidia jitihada za utoaji taarifa, miradi ya maji na usafi wa mazingira, kuzuia na kudhibiti maambukizi, kutoa elimu ya afya kwa umma na miradi mingine.Fedha hizi ni nyongeza ya msaada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya maji kugharimu bil. 238/-

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka ya jijini Mwanza (Mwauwasa), inatarajia kutumia euro milioni 104.5, sawa na zaidi ya sh bilioni 238.7 kwa ajili ya kujenga na kutekeleza miradi mbalimbali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya barabara Tabora kugharimu bil. 13/-

MKOA wa Tabora unatarajia kutumia zaidi ya sh bilioni 13 katika kutekeleza miradi ya barabara kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014. Akisoma taarifa yake kwenye kikao cha Bodi ya Barabara,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani