Sweden yatoa bil. 42/- kusaidia miradi UN
Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya kutiliana saini makubaliano kati ya nchi ya yake na Umoja wa Mataifa ambapo wametoa fedha kusaidia miradi ya Umoja wa Mataifa kwenye ofisi za ubalozi wa Sweden jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.(Picha na Zainul Mzige MOblog).
Na Mwandishi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Jun
Hispania watoa bil 3.1/- kusaidia miradi
SERIKALI ya Hispania imetoa Sh bilioni 3.1 kusaidia miradi ya maendeleo ya jamii nchini ambayo mingine inatekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii,TASAF.
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
UNCDF yatoa bilioni 2.4/- kusaidia miradi 6 ya miundombinu
Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akisoma hotuba yake wakati wa kukabidhi hundi kwa mashirika binafsi na ya umma kwa ajili ya kuendeleza miradi ya maendeleo.
Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba (katikati) akimkabidhi hundi bilioni moja...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Sweden yaipa Zanzibar bil.11/-
SERIKALI ya Sweden imetiliana saini mkataba wa sh. bilioni 11na Serikali ya Zanzibar kwa ajili ya kuisaidia miradi ya maendeleo ikiwemo nishati. Mkataba huo ulisainiwa na Katibu mkuu wa Wizara...
9 years ago
StarTV21 Sep
Sh. Bil. 1 kusaidia masuala ya UKIMWI Geita
Makusanyo ya zaidi ya shilingi bilioni moja yaliyopatikana katika kupanda Mlima Kilimanjaro yatasaidia taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na masuala ya UKIMWI ndani na nje ya Mkoa wa Geita.
Takribani miaka 13 sasa tangu Mgodi wa Dhahabu wa Geita uanze kampeni hii yenye lengo la kusaidiana na Serikali kupunguza maambukizi mapya ya UKIMWI ambayo yamekuwa yakiathiri nguvu kazi ya Taifa hasa vijana ongezeko kubwa likionekana kwenye maeneo ya machimbo.
Upandaji wa mlima Kilimanjaro umekuwa...
9 years ago
Habarileo16 Sep
TEA watumia bil 2/- kusaidia shule za walemavu
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imetumia zaidi ya sh bilioni 1.83 kwa ajili ya kusaidia shule na vyuo vyenye watu wenye ulemavu katika kipindi cha miaka mitatu.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Mwenge wazindua miradi ya bil. 5.6/-
MIRADI nane yenye thamani ya sh. bilioni 5.6 imetembelewa na kuzinduliwa na mbio za mwenge katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam huku kiongozi wa mbio hizo...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Bil.1.3/- kutekeleza miradi Iringa
HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa itatumia sh bilioni 1.3 katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maji. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji kazi wa Kamati ya Mipango na Mazingira kwa kipindi cha robo...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Miradi ya UN nchini yasaidiwa bil. 42/-
SWEDEN imeyapatia mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyopo hapa nchini jumla ya Sh bilioni 42 kusaidia miradi yake ya maendeleo inayofanya Tanzania.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Sweden yatoa bilioni 11.3/- kwa nishati
SERIKALI ya Sweden imetoa Sh bilioni 11.3 kusaidia maendeleo ya nishati Zanzibar na kuwezesha shirika la umeme kufanya kazi kwa ufanisi.