Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Historia Ya Dkt. Magufuli Kazini

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Dkt. Chaula aahidi kuleta mabadiliko Sekta ya Mawasiliano, asisitiza uwajibikaji na mahusiano bora kazini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na wafanyakazi wa Sekta yake katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa TBA, Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu, Kitolina Kippa.
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Mawasiliano, Bi Laurencia Masigo, akiwasilisha hoja za wafanyakazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Kalemani aweka historia Loya, Tabora

 Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani, akiwaonyesha kifaa cha Umeme tayari (UMETA) wakazi wa Kijiji cha Loya wilayani Uyui Mkoani Tabora, alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya usambazaji wa umeme vijijini, katika kijiji hicho, Mei 19,2020. Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani, akiwasha mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ambayo sasa inatumia umeme badala ya mafuta mazito kujiendesha, inayomilikiwa na Mkazi wa Kijiji cha Loya wilayani Uyui Mkoani Tabora, wakati alipofanya ziara ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli amteua Dkt. Tulia Mwansasu kuwa Mbunge

IMG-20151115-WA0072

Dkt. Tulia Mwansasu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila amekiri kupokea taarifa ya uteuzi wa Dk Tulia mapema leo asubuhi.

Awali kabla ya uteuzi huo, Dr Tulia alikuwa Naibu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah

Hosea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah (pichani) kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa...

 

5 years ago

Mwananchi

Magufuli, Museveni waweka historia

 Mkoa wa Tanga jana ‘ulitekwa’ na wakuu wa nchi za Tanzania na Uganda wakati wa tukio la kihistoria la uwekaji jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Historia ya John Magufuli wa CCM

Historia fupi ya mgombea kiti cha urais wa chama tawala cha CCM Daktari John Pombe Joseph Magufuli

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani