HISTORIA YA MAISHA YA KING DIAMOND PLUTNUMZ NA DJ WAKE ROME JONES
Na Musa MatejaKwa sasa tunapozungumzia mastaa wa muziki wanaofanya vizuri hapa Bongo, jina la Nasibu Abdul ‘Diamond’ lazima litachukua nafasi ya kwanza kisha wengine watafuata. Ni kijana anayejituma sana na jitihada zake hizo zimemfanya awe maarufu barani Afrika.Nyuma ya mafanikio ya Diamond wapo watu wengi. Mwenyewe amekuwa akimshukuru sana mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’ kwa malezi aliyompa hadi kufikia hapo alipo leo. Ukimuacha mama yake, wapo watu wengine wengi lakini leo nataka kukupa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Clarence B. Jones, mshauri wa Dr. Martin Luther King, atembelea White House
![](https://lh4.googleusercontent.com/-V9dPv-BDVS4/VNBADRJqsNI/AAAAAAACqnE/IT8wSOs3COM/w1017-h846-no/P020215PS-0622.1%5B5%5D.jpg)
![President Barack Obama meets with Clarence Jones (2) President Barack Obama meets with Clarence Jones (2)](http://www.whitehouse.gov/sites/default/files/imagecache/embedded_img_full/image/image_file/p020215ps-0640.1.jpg?itok=dyNx0AQg)
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Diamond, Romy Jones watibuana
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.
MUSA MATEJA
Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones ‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama ilivyokuwa zamani.
Hivi karibuni chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, Diamond na kaka yake huyo ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo wamefikia hatua ya kutoongea na hata kuambatana katika kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ambapo Romy Jons ndiye...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0HN-tHXdO-4/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/GAEkDfY-KOo/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMOSES IYOBO, RAMA TONSA NA DJ ROMY JONES WAWASILI WASHINGTON, DC, DIAMOND KUWASILI LEO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-erFma2yaLY8/VSGBe080HpI/AAAAAAADhKE/PZAuTMnRkCA/s72-c/unnamed.jpg)
HISTORIA YAANDIKWA MJINI ADDIS ABABA- WHEN PRINCE OF SWAHILI BLUES MET THE LEGENDARY KING OF ETHIO JAZZ
![](http://2.bp.blogspot.com/-erFma2yaLY8/VSGBe080HpI/AAAAAAADhKE/PZAuTMnRkCA/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RMm802hP99g/VSGBjYOj8rI/AAAAAAADhKc/zQaxuIfS974/s1600/unnamed-1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HovvLRR6jKg/VSGBjZ70AII/AAAAAAADhKQ/71VBiM5giVM/s1600/unnamed-2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fc4c9xKmEAY/VSGBjXaSbKI/AAAAAAADhKM/PmlTTtQabqI/s1600/unnamed-3.jpg)
Shabiki kutoka Brazil akimpongeza Dr Mulatu
Dr Mulatu na Leo wakishambulia jukwaa
![](http://1.bp.blogspot.com/-kjY8ODK08jE/VSGEwQvBVII/AAAAAAADhKo/cCHx97p2hQY/s1600/unnamed-4.jpg)
Siku ya Jumamosi ya tarehe 4 April 2015 mjini Addis Ababa, historia iliandikwa pale...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3Hmw610OtWVp-GcJ7mQttPWkrFIZYc7Ts4*fdlA1LrLthXUpJVIP0DRCfQuSuTqtMe0xdoIXKzbGLxC6g3vxI*k0l/Diamond....jpg?width=650)
DIAMOND, ROMY JONES TANGU 'LONG TIME' KITAMBO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8e0m82BHkpm9R5J-A7vhIXQWOeqRtqYdtD2-CoxbWxMPKDmFZ5I-Dv-pawujYHiiprH1f9sGjsYeAp1SPeOhhxg7fNcHxDRa/dimaond1.jpg?width=650)
DIAMOND: KAWEKA HISTORIA ULAYA