MOSES IYOBO, RAMA TONSA NA DJ ROMY JONES WAWASILI WASHINGTON, DC, DIAMOND KUWASILI LEO
kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Moses Iyobo na Rama Tonsa wakisubili usafiri na huku wakijaribu kupata mawasiliano mara tu baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia tayari kwa kuwasha moto leo kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika Sheraton ya Downtown Silver Spring.
Moses Iyobo, Dj Romy Jones wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa mara tu baada ya kuwasili siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya sherehe ya Uhuru itakayofanyika leo Jumamosi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Diamond, Romy Jones watibuana
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.
MUSA MATEJA
Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones ‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama ilivyokuwa zamani.
Hivi karibuni chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, Diamond na kaka yake huyo ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo wamefikia hatua ya kutoongea na hata kuambatana katika kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ambapo Romy Jons ndiye...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0HN-tHXdO-4/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3Hmw610OtWVp-GcJ7mQttPWkrFIZYc7Ts4*fdlA1LrLthXUpJVIP0DRCfQuSuTqtMe0xdoIXKzbGLxC6g3vxI*k0l/Diamond....jpg?width=650)
DIAMOND, ROMY JONES TANGU 'LONG TIME' KITAMBO
10 years ago
MichuziDIAMOND NA VIJANA WAKE WAWASILI WASHINGTON, DC TAYARI KWA MAKAMUZI
10 years ago
Bongo Movies05 Aug
Picha : ‘Bethidei’ Party ya Mzazi Mwenza wa Aunt Ezekiel , Moses Iyobo ya Kusanya Mastaa Kibao
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye sherehe ya kuzaliwa ya siku ya kuzaliwa ya Moses Iyobo ambaye ni baba wa mototo wa Aunt Ezekiel .
Mastaa wengi wajikitokeza kwenye sherehe hiyo jionee.
10 years ago
CloudsFM02 Dec
DIAMOND KUWASILI NYUMBANI LEO SAA NANE MCHANA
Kwa wale mashabiki wote wa Super Star na mshindi wetu Diamond Platnumz habari ni kwamba leo saa nane mchana Rais wa Wasafi anarudi nyumbani na zile tuzo 3. Sasa mnaonaje mkajumuika na sisi kumpokea pale Airport ili tusherekee huo ushindi pamoja naye? Njooni tumuonyeshe ni kwa jinsi gani tunampenda na kuithamini kazi yake. #Twajivunia kuwa watanzania
11 years ago
MichuziDIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY
11 years ago
GPLDIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY
10 years ago
Vijimambo23 Mar
HISTORIA YA MAISHA YA KING DIAMOND PLUTNUMZ NA DJ WAKE ROME JONES
![](http://api.ning.com/files/OyDgsXHkaULy5kT-vNjKRUNZ5gR1r3GZEtPxciaClax24EIswLZ2uXAN-K*iUe0B3nANAj7grp3AIlIRsm9lfFwRypl56y8B/diamondf.jpg?width=650)