Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HITMA YA KUMBUKUMBU YA KUWAOMBEA WANACUF WALIOFARIKI 2001

MAKAMU Mwenyekiti wa CUF taifa Mhe: Juma Duni Haji (katikati) akiwa amenyanyua mikono kuomba dua, kwenye hitma ya kuwaombea dua wanachama wa chama cha CUF, waliotangulia mbele ya haki mwaka 2001 katika maandamano yaliyofanyika Pemba ya kudai uchaguzi urudiwe. Dua hio iliohudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa wa chama hicho, ilifanyika jana mskikiti wa Ijumaa Chachani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Hitma ya kuwaombea dua Waumini waliotangulia mbele ya haki Zanzibar

 Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Dr. Salmin Amour kati kati akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal (kushoto)  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi nyumbani kwake Kidombo mara baaya ya chakula cha mchana.Hafla hiyo inayojumuisha mamia ya waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka pembe zote za Unguja huambatana pia na Maulidi ya Kuzaliwa kwa Kiongozi wa Dini ya Kiislamu Duniani Mtume Muhammad { SAW  } wakati wa usiku ukiwa ni...

 

10 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA

Flaviana Matata akiongea neno.Sheikh akiomba dua maalum kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wa ajali ya meli ya MV. Bukoba....wakipiga picha ya pamoja kwenye kaburi....wakipiga picha ya ukumbusho.
Na Johnson James, Mwanza
ALFAJIRI ya Mei 21 mwaka 1996 – siku kama ya leo -- ni tarehe ambayo Tanzania ilipatwa na msiba mzito ambapo zaidi ya watu 600 walifariki baada ya meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka mjini Bukoba kwenda jijini Mwanza kuzama katika Ziwa Victoria ambalo liko...

 

10 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA

Waliofika kanisa katoliki la Mt. Francis, lililopo Nyakahoja-Mwanza, na kushiriki misa maalum ya kumbukumbu ya kuzama kwa meli ya Mv. Victoria. Misa ya kumbukumbu ikiendelea.
Wakifuatilia misa ya kumbukumbu. Wakiweka mauwa kwenye kaburi.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Sarena akumbuka alivyodhalilishwa 2001

Mcheza tenis mwanadada namba moja kwa ubora duniani Serena Williams amesema haamini atarejea Indian Wells huko Calfonia nchini Marekani baada ya kudhalilishwa na watazamaji wakati alipokuwa msichana wa miaka 14.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaharakati wamuomba Dk Shein atete na wanaCUF

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinWANAHARAKATI wamemuomba Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, kwa nafasi yake ya Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa, kuzungumza na wajumbe wa Bunge hilo ambao ni wabunge na wawakilishi kutoka CUF, kurudi katika vikao vya bunge hilo vinavyoendelea Dodoma.

 

10 years ago

GPL

MISS SINZA 2001 NA SKENDO YA PICHA ZA UTUPU!

Na Gladness Mallya HAMNAZO? MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada ya kupiga picha za utupu kwa mara nyingine. MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid. Picha hizo zilizotapakaa kwenye mitandao mbalimbali zimewashangaza watu ambapo Husna anaonekana akiwa kama alivyozaliwa huku akiwa katika mapozi tofauti hali inayoonesha...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif awataka WanaCUF kutovunjika moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Kiembesamak

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akifungua mkutano wa viongozi wa matawi, majimbo na Wilaya kwa Wilaya za Wete na Micheweni uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Na Khamis Haji , OMKR Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho wasivunjike moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki na badala yake waendelee na juhudi za kukiimarisha chama, ili kiweze kukamata...

 

10 years ago

Vijimambo

Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.

Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU.Jamaa ana kumbukumbu sana.Na nahisi hapo anamuangalia Lowassa na kukumbuka yote aliyowahi kusema juu yake.Kisha.......
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA HITMA

Dada Pily Mpenda na familia yake wakishirikiana na Familia ya Kiwanga wote wa Jijini Dar es Salaam,wanapenda kuwakaribisha katika Hitma ya binti yao mpendwa ULLY HARUN KIWANGA itakayosomwa siku ya Jumamosi tarehe 19.04.3014 Saa 7.00 mchana nyumbani kwako Kinondoni Block 41 karibu na shule ya msingi Kumbukumbu. 
Wote mnakaribishwa. 
WABILLAH TAWFIQ

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani