Wanaharakati wamuomba Dk Shein atete na wanaCUF
WANAHARAKATI wamemuomba Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, kwa nafasi yake ya Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa, kuzungumza na wajumbe wa Bunge hilo ambao ni wabunge na wawakilishi kutoka CUF, kurudi katika vikao vya bunge hilo vinavyoendelea Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Aug
Hotuba ya Dk Shein yakuna wanaharakati
WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia Zanzibar wameipongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ya kuvitaka vyombo vya sheria kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
10 years ago
VijimamboHITMA YA KUMBUKUMBU YA KUWAOMBEA WANACUF WALIOFARIKI 2001
11 years ago
Michuzi09 Feb
Maalim Seif awataka WanaCUF kutovunjika moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Kiembesamak
11 years ago
CloudsFM10 Jun
MAFIKIZOLO WAMUOMBA KOLABO DIAMOND
Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba kolabo Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz ambapo jana (June 9) waliingia katika studio ya Oskido iliyoko Johannesburg kurekodi wimbo huo.“We doing a collaboration with Diamond,the song is sounding awesome yes” aliandika Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo katika moja ya picha wakiwa studio na Diamond.Collabo hiyo ya Mafikizolo na Diamond itampa nafasi nzuri zaidi Platnumz sababu ya ukubwa walionao wanamuziki hao wa Afrika Kusini.
Mafikizolo ni...
9 years ago
Habarileo17 Sep
Wamuomba Zitto ajenge daraja
WAKAZI wa kata ya Mgumile iliyoko manispaa ya Kigoma Mjini wamemuomba mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto atakapoingia madarakani kuwajengea daraja katika mto Luiche ili waondokane na adha za kuishi mithili ya kisiwani.
10 years ago
Habarileo15 Aug
Wananchi wamuomba Rais Kikwete kuwanusuru
WANANCHI zaidi ya 350 wanaoishi katika Kitongoji cha Nyansirori, Kijiji cha Mikomariro, Wilaya ya hapa, mkoani Mara, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati wasihamishwe katika kitongoji hicho, kutokana na agizo la halmashauri ya wilaya hiyo.
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Kigera wamuomba Lukuvi kunusuru nyumba za maskini
9 years ago
StarTV31 Oct
Wakazi Chato wamuomba Dk. Magufuli kuimarisha viwanda
Wakazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita wamemuomba Rais mteule wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli kuhakikisha analitilia mkazo suala la viwanda ambalo ni mhimili wa maendeleo ambao unakuza uchumi wa wananchi na nchi kwa ujumla.
Wameongeza kuwa zipo nguzo nyingine za maendeleo lakini hakuna hata moja inayoweza kushinda nguvu ya viwanda katika kiuchumi kwa kuongezea bidhaa thamani.
Wakizungumza wakati wa kusheherekea ushindi wa rais mteule Dk John Pombe Magufuli wamesema watanzania wengi...
9 years ago
StarTV18 Dec
TALGWU wamuomba Rais Magufuli kusaidia malipo yao ya bilioni 18.
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU kimemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati madai yao ili waweze kulipa malimbikizo yao ya zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za wafanyakazi wa serikali za mitaa kabla ya kumalizika kwa Desemba mwaka huu.
Fedha hizo ambazo ni madai ya Agosti 2011 hadi Aprili mwaka 2012 zinadaiwa kuwa ni malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ya likizo, masomo, uhamisho wa wafanyakazi pamoja na matibabu na kwamba zisipolipwa TALGWU inakusudia kuingia kwenye...