Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hivi ndivyo Wayne Rooney na Anthony Martial walivyomfanya Louis van Gaal aanze kutabasamu (+Pichaz)

Kipute cha Ligi Kuu Uingereza kimeendelea tena leo January 2 kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, Man United walikuwa wenyeji wa Swansea City katika dimba la Old Trafford, wakati Arsenal walikuwa wenyeji wa Newcastle United katika dimba la Emirates. Mchezo ambao ulikuwa na nafasi ya kutazamwa na watu wengi ni mchezo kati […]

The post Hivi ndivyo Wayne Rooney na Anthony Martial walivyomfanya Louis van Gaal aanze kutabasamu (+Pichaz) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United …

Bado hali sio nzuri ndani ya klabu ya Man United, haikatishi siku bila mitandao ya kijamii, magazeti na tovuti kujadili juu ya kibarua cha kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal, mengi yameandikwa na kwakuwa Uingereza ndio Ligi inayopendwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo vina nguvu, basi usishangae kuona nakuletea stori nyingine […]

The post Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Hivi ndivyo Chicharito alivyozidi kumtia aibu kocha wa Man United Louis van Gaal …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico anayekipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani Javier ‘Chicharito’ Hernandez, December 31 amerudi tena katika headlines za soka, baada ya mafanikio yake kuzidi kuonekana. Chicharito amerudi kwenye headlines baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi. Kufuatia kushinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwezi, hii inatafsirika […]

The post Hivi ndivyo Chicharito alivyozidi kumtia aibu kocha wa Man United Louis van Gaal …...

 

9 years ago

Bongo5

Wayne Rooney ammwagia sifa beki Chris Smalling na Anthony Martial

Nahodha wa timu ya taifa ya England na klabu ya Manchester United, Wayne Rooney amesema beki Chris Smalling kwa sasa ni miongoni mwa walinzi watatu bora wa kati duniani. Alisema hayo wakati akizungumza na mtandao wa klabu wa Manchester United alipoulizwa kuhusu uwezo wa Chris Smalling msimu huu. Rooney alisema anakubali kupanda kwa kiwango cha […]

 

9 years ago

Bongo5

Van Gaal amtaka Anthony Martial kujituma zaidi

2E14080C00000578-3302576-image-a-14_1446588273133

Kocha wa klabu ya Manchester United, Louis Van Gaal anaona hapo baadaye kuwa mchezaji Anthony Martial ataongoza safu ya mashambulizi katika siku za usoni.

2E14080C00000578-3302576-image-a-14_1446588273133

Mchezaji huyo wa miaka 19, aliyesajiliwa kutoka klabu ya Monaco kwa pauni milioni 36, mnamo mwezi Agosti, amefunga mabao matano msimu huu, lakini amekuwa akichezeshwa upande wa kushoto, ikiwemo mechi ya Jumanne dhidi ya CSKA Mosco.

Louis Van Gaal amesema “ni kijana mdogo sana, lakini ni bora iwapo ataimarika kama mshambuliaji.”

Source:...

 

9 years ago

BBCSwahili

Van Gaal amtaka Martial kushambulia

Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal anahisi kuwa mchezaji Anthony Martial ataongoza safu ya mashambulizi siku za usoni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Louis Van Gaal amwaga tambo

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal baada ya Ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Southampton sasa atamba kuchukua ubingwa England.

 

9 years ago

BBCSwahili

Louis van Gaal hana kisingizio

Bosi wa Manchester United Louis van Gaal amesema hana kisingizio chochote cha kwanini wametolewa kwenye UEFA Champions ligi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Louis van Gaal awapasha waandishi.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ambaye kwa sasa yuko katika hali mbaya ndani ya klabu hiyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …

December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani