Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HONGERA IDRIS SEMA NINI?..

KWAKO mshindi wetu wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan. Natumaini ndiyo kwanza una ‘kiraruraru’ cha ushindi wa milioni 510, hongera kwa ushindi!Mkwanja huo ni mrefu, hayo ni mafanikio yako binafsi lakini pia watanzania kwa jumla. Walikupigia kura, kweli umeshinda! Ukitaka kujua hali yangu mimi mwananchi wa kawaida niko poa, naendelea na majukumu yangu ya kila siku na huu ndiyo uwanja wangu wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wanapo sema ccm hawatowi ,wanakusudia nini ?

Hivi karibuni nimeona picha za magari mazito ya polisi pamoja na mazoezi ya hapa na pale. Haya yanafanyika tunapokaribia katika kipindi muhimu zaidi katika historia ya nchi hii, kipindi ambacho kina ushindani mkubwa wa kisiasa, Kipindi […]

The post Wanapo sema ccm hawatowi ,wanakusudia nini ? appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Bongo5

Tumejifunza nini kwa mwamko huu tulioonesha kwa Idris na Happiness?

Diamond Platnumz, Idris Sultan na Happiness Watimanywa wamesaidia kuonesha wazi nguvu tuliyonayo Tanzania. Kutoka kwenye ushindi wa tuzo tatu za Channel O uliompa Diamond sifa nyingine kwenye CV yake hadi kwenye ushindi wa pili wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa uliompa utajiri wa zaidi ya shilingi milioni 514 mpiga picha Idris Sultan na […]

 

9 years ago

Mtanzania

Sema wewe

MMGL0630Na Waandishi Wetu, Mwanza

SEMA wewe. Ndivyo unavyoweza kutamka baada ya maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza kujitokeza kumpokea mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),   Edward Lowassa jana.

Vilevile, Jeshi la polisi mkoani hapa lililazimika kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chadema na vyama vingine vinayounda  UKAWA ambao walikuwa wamefurika uwanja wa ndege wa Mwanza.

Mabomu hayo yalianza kupigwa ya saa 6:20  mchana.  Mabomu hayo yalipigwa baada ya wafuasi hao...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMA AMEN KWA KUMSHUKURU MUNGU

Jitazame kuanzia juu mpaka chini Kisha jiulize kimoyomoyo huyu, wewe na Mimi tuna tofauti gani?Usipite bila kuandika Amen kwa kumshukuru Mungu wako kwa uzima.

 

9 years ago

Michuzi

C-SEMA , TAJOC WAJADILI ULINZI MTOTO

 Afisa Mtendaji Mkuu wa C-SEMA, Kiiya Kiiya akizungumza na Waandishi wa Habari za Watoto (TAJOC) na Wadau Watunga Sera katika kampeni Nijali Mtoto wa Tanzania iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.Mshauri Mwandamizi wa Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto wa C-SEMA, Thelma Dhaje akizungumza na Waandishi wa Habari za Watoto (TAJOC) na Wadau Watunga Sera katika kampeni Nijali Mtoto wa Tanzania iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.Wadau wa Watoto wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam.
Na...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sema Wewe sasa, baada ya uchaguzi….

Mpendwa mzalendo na msomaji wa mzalendo.net, nahitaji mchango na maoni yako. Kufuatia kipindi hichi cha uchaguzi mkuu 2015, mara baada ya uchaguzi kumalizika; Nani unadhani atashika nafasi ya: 1) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar. […]

The post Sema Wewe sasa, baada ya uchaguzi…. appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima

SHIRIKA la Mpango  Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mwasiti Ft Queen Darleen – Sema Nae

artist_121bcd964eb23c68f2bb90d5a45f4df6130.jpg

Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen. Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA

 Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika lisilo la kiserikali la C-Sema, Michael Kehongoh akitoa maada katika semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto iliyofanyika katika hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam.  Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista akitoa maada katika  Semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani