HONGERA MZEE WA WARAKA
Juu na chini mwandishi wa makala katika safu ya Waraka kutoka Houston ndani ya gazeti la Raia Mwema, Innocent Mwesiga, Pharm.D na mke wake Carretta Mwesiga, FNP wakifurahia miaka 10 ya ndoa yao hivi karibuni katika visiwa vya Bahamas. (Kutoka blog hii tunawapa hongera sana) (Picha kwa hisani ya Sunday Shomari).
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Waraka wa Muungano ni zimwi?
BUNGE la Maalumu linaloendelea na vikao vyake mkoani Dodoma kwa takriban miezi miwili sasa limekuwa kizungumkuti cha aina yake. Baadhi ya watu Zanzibar, wameanza kuhisi kikao hiki cha kihistoria kimegeuzwa...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
JK atoe tamko waraka wa CCM’
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Waraka wa Zitto wamponza Waitara
11 years ago
GPL11 years ago
Mwananchi26 Feb
Waraka wa Katiba wa CCM hadharani
10 years ago
Mwananchi14 Sep
‘Hatuhusiki na waraka unaopinga rasimu’
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Waraka wa Warioba kwa Wasira
5 years ago
MichuziTRUMP AINYUKA WHO WARAKA MZITO
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
RAIS wa Marekani Donald Trump ameendelea kulituhumu Shirika la afya Duniani (WHO) kwa kushindwa kuwa chombo huru katika kupambana na janga la mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19.) Ambavyo hadi sasa vimesambaa duniani kote na hakuna chanjo wala kinga iliyopatikana hadi sasa.
Kupitia barua aliyoiweka katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiielekeza kwa Mkurugenzi wa WHO Dkt. Tedros Adhonom Ghebreyesus Trump ...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Othman atoa waraka muundo wa Bunge